Ongezeko la ghasia mashariki mwa DRC laongeza mahitaji ya vifaa vya dharura
Ghasia na machafuko yanaendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, suala ambalo limezidisha maafa na matatizo kwa raia wa kawaida hasa wanawake na watoto wadogo.
Polisi Afrika Kusini yahimiza kupambana vilivyo na magenge ya Cape Magharibi
Kaimu Waziri wa Polisi wa Afrika Kusini, Firoz Cachalia ametoa mwito kwa wananchi kulisaidia kikamilifu jeshi hilo katika kuweka ulinzi mkali wa kipolisi na uwekezaji wa kijamii ili kuzuia kuongezeka…
Ufaransa na nchi nyingine 9 kuitambua rasmi Palestina
Katika hatua ya kihistoria, Ufaransa na nchi nyingine tisa zimetangaza kuwa zitalitambua rasmi taifa huru la Palestina.
Ansarullah: Silaha mpya zimeingia kwenye uwanja wa vita; Jahannam inamsubiri Waziri wa Vita wa Israel
Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen huku akipuuzilia mbali vitisho vya waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni ametangaza kuingia kwa silaha mpya katika medani…
Waasi washambulia mji wa mpakani wa Nigeria, wanajeshi watimua mbio na kuingia Cameroon
Waasi wameshambulia mji mmoja wa mpakani katika jimbo la Borno, kaskazini mwa Nigeria na kuchukua silaha katika kambi ya kijeshi katika eneo hilo huku wanajeshi wakikimbilia usalama wao katika nchi…
Moscow: Kurejeshwa vikwazo dhidi ya Iran sio halali kisheria
Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa alisema Ijumaa jioni kwamba, kurejeshwa kwa vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hakuna uhalali wowote wa kisheria na kwamba waliotia saini…
Amnesty International: Kura ya turufu ya Marekani ni taa ya kijani kwa mauaji ya kimbari huko Gaza
Shirika la Msamaha Duniani, Amnesty International, limekosoa vikali kura ya turufu ya Marekani dhidi ya azimio la kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza, likitaja hatua hiyo kama uungaji mkono wa…
Guterres: Ulimwengu haupaswi kutishwa na vitisho vya Israel kuhusu Palestina
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kwamba vitisho vya Israel havipaswi kuzuia kutambuliwa rasmni kwa taifa la Palestina.
Je, upo uwezekano wa kutokea vita kati ya Uturuki na utawala wa Kizayuni?
Mashambulizi ya utawala wa Israel dhidi ya Qatar yamezidisha mivutano kati ya Uturuki na Israel na kuibua uwezekano wa kutokea makabiliano ya moja kwa moja kati ya Ankara na Tel…
Iran yalaani jaribio la kichochezi la E3 la kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa
Iran imelaani vikali jaribio la mataifa matatu ya Ulaya—Uingereza, Ufaransa na Ujerumani—la kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi yake kupitia kile kinachoitwa utaratibu wa “snapback,” na kuitaja hatua hiyo…
Mzozo wa kidiplomasia waendelea kutokota baina ya Mali na Ufaransa
Ufaransa imeamuru wanadiplomasia wawili wa Mali kuondoka nchini humo, kufuatia kukamatwa kwa mwanadiplomasia wake nchini Mali mwezi Agosti.
UN: Zaidi ya watu 110 wafariki au kupotea katika ajali za wakimbizi pwani ya Libya
Ajali mbili za baharini karibu na pwani ya Libya zimeacha zaidi ya wakimbizi 110 wa Kisudan wakiwa wamefariki au hawajulikani walipo, kwa mujibu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa.
Watu 8 wauawa katika mapigano baina ya wafuasi wa kundi la Wazalendo mashariki mwa DRC
Makundi mawili ya wanamgambo wa Wazalendo, yanayoongozwa na majenerali wanaojiita Malaika na Nyakiliba, yamekuwa yakipambana tangu Septemba 17 katika eneo la Mwenga, mkoani Kivu Kusini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia…
Brazil yaungana rasmi na Afrika Kusini katika kesi ya mauaji ya halaiki dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ)
Brazil imewasilisha rasmi ombi la kujiunga katika kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Israel kuhusu vita vinavyoendelea tangu Oktoba 2023 ambavyo vinatambuliwa na wengi kuwa ni vya…
Iran: Baraza la Usalama la UN limeihasiri diplomasia kwa kupinga vikwazo visiondolewe moja kwa moja
Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, uamuzi wa Baraza la Usalama la umoja huo wa kutoondoa moja kwa moja vikwazo…
Araqchi alitaka Baraza la Usalama la UN kuchagua diplomasia badala ya makabiliano
Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuingilia kati na kuchagua njia ya diplomasia badala ya makabiliano.
Algeria: Kuna hatari UNSC likashindwa kwa mara ya tatu kuzuia mauaji ya kimbari kufuatia kura ya veto ya US
Algeria imelitahadharisha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba linakabiliwa na hatari ya kukariri kushindwa kwake mtawalia katika miaka ya nyuma kuzuia mauaji ya kimbari baada ya Marekani kwa…
Taasisi ya misaada Sudan: Shambulio la RSF limeua watu 75 Darfur
Vikosi vya Usaidizi wa Haraka RSF vimewaua watu 75 katika shambulio la ndege zisizo na rubani lililolenga msikiti mmoja katika kambi ya watu waliolazimika kuyahama makazi yao kwenye jimbo la…
Gbagbo aapa kutomuunga mkono mgombea yeyote katika kinyang’anyiro cha urais wa Ivory Coast
Laurent Gbagbo Rais wa zamani wa Ivory Coast amesema hatomuunga mkono mgombea yeyote katika uchaguzi ujao wa rais.
Sababu za kuongezeka maradufu mauzo ya Iran barani Afrika
Mauzo ya Iran barani Afrika yameongezeka maradufu.
Jumamosi, 20 Septemba, 2025
Leo ni Jumamosi 27 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na 20 Septemba 2025 Miladia.
Kuanzia kupambana na ubaguzi wa rangi hadi kushirikiana na wavamizi; Nigeria inaelekea wapi?
Nigeria imesimama na mataifa yanayodhulumiwa katika miongo kadhaa iliyopita, hasa katika mapambano dhidi ya utawala wa kibaguzi nchini Afrika Kusini, na imetetea misingi ya haki na kupinga ukoloni.
Haj Ali Akbari: Hatutahadaika na mchezo wa Snapback
Khatibu wa muda wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuhusiana na kuhuishwa utaratibu wa "Snapback" kwamba: Inapasa kuzingatiwa kuwa baada ya kuvuka vikwazo vinavyolemaza; masuala haya kwa kiasi kikubwa…
Baada ya kuangamizwa askari 6 wa kizayuni, HAMAS yaionya Israel: Ghaza itageuka ‘kaburi’ la askari wenu
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala wa kizayuni wa Israel kwamba hatua yake ya kuzidi kujiingiza ndani ya Mji wa Ghaza kutaugeuza mji huo kuwa "kaburi,"…
Duru za Uturuki: Erdogan amefanya mazungumzo ya siri Istanbul na mwana wa kiume wa Trump
Mwana mkubwa wa kiume wa Rais Donald Trump wa Marekani na ujumbe alioandamana nao wiki iliyopita walikutana na Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan mjini Istanbul wiki katika ziara ambayo…
Taliban yamjibu Trump: Tunaweza kuzungumza, lakini Marekani haitaruhusiwa kuwepo tena kijeshi Afghanistan
Serikali ya Afghanistan inayoongozwa na Taliban imetupilia mbali wito wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kutaka jeshi la nchi hiyo lirejee Afghanista na kupatiwa tena kambi ya jeshi la…
UNIFIL yaitaka Israel ikomeshe mashambulizi, iondoke kikamilifu katika ardhi ya Lebanon
Vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa kusini mwa Lebanon, UNIFIL imesema, shambulio la anga lililofanywa na jeshi la Israel jana usiku kusini mwa Lebanon ni ukiukaji wa wazi…
Kampeni za Kura ya Maoni ya Katiba nchini Guinea Conakry zakamilika bila ya kuwepo upinzani
Mji mkuu wa Guinea, ulikuwa na shughuli nyingi jana Alkhamisi, ambayo ilikuwa siku ya kufunga kampeni kabla ya kufanyika kura ya maoni ambayo itaweza kumruhusu kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi…
Kiongozi wa Ansarullah akosoa misimamo dhaifu ya nchi za Kiislamu na Kiarabu kuhusu jinai za Israel
Akikosoa misimamo dhaifu ya nchi za Kiarabu na Kiislamu katika kikao cha hivi karibuni cha Doha dhidi ya hujuma ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Qatar, kiongozi…
Uchaguzi Malawi: Wagombea wawili wakuu wa urais kila mmoja ajitangazia ushindi
Vyama vya wagombea wawili wakuu katika uchaguzi wa rais nchini Malawi vimejitangazia ushindi na kuzua wasiwasi wa kuibuuka mzozo.
WHO: Zaidi ya watu 30 wamekufa kwa Ebola Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, maambukizi 48 ya ugonjwa wa Ebola yamethibitishwa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na watu 31 wamefariki dunia.
UNICEF yaonya tena kuhusu utapiamlo miongoni mwa watoto wa Gaza
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuwa zaidi ya watoto 26,000 katika Ukanda wa Gaza wanahitaji matibabu ya haraka kutokana na utapiamlo mkali.
Riek Machar aiweka njia panda Sudan Kusini
Upinzani nchini Sudan Kusini umetoa wito wa "mabadiliko ya utawala" dhidi ya serikali ya Rais Salva Kiir baada ya miezi kadhaa ya kuvunjika kwa makubaliano ya kugawana madaraka mwaka 2018…
Baghaei: Wafuasi wa utawala katili wa Israel lazima waache kushiriki mauaji ya kimbari
Ismail Baghaei, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia ripoti ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa na kusema kuwa, ripoti ya Tume…
Marekani yatumia kura ya veto kupinga azimio la kusitisha vita Gaza
Marekani imetumia kura turufu kuzuia kupasishwa azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka usitishwaji vita Gaza, kuwezesha ufikaji wa misaada ya kibinadamu na kuachiliwa kwa mateka.
Saudia yaitaarifu rasmi Iran makubaliano yake ya kijeshi na Pakistan
Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia amefanya mazungumzo ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran n kumtaarifu rasmi kuhusu makubaliano ya hivi karibuni ya ulinzi…
Hamas yawataka walimwengu kushiriki siku za hasira za kimataifa dhidi ya Wazayuni
Katika jitihada zake mpya za kuungwa mkono kimataifa wananchi wa Ghaza na wananchi wa Palestina kiujumla, harakati ya Hamas imetoa mwito kwa watu wote walio huru duniani kuzitangaza siku Ijumaa,…
DRC: Hukumu ya kesi ya Rais wa zamani Joseph Kabila kutolewa leo Ijumaa
Katika hali ya kushangaza, Mahakama Kuu ya Kijeshi mjini Kinshasa imepanga Ijumaa ya leo kuwa siku ya kutoa uamuzi wake wa kesi ya kihistoria ya uhalifu wa kivita inayomkabili Rais…
Shambulio la Israel Doha laleta wasiwasi wa kugawika Misri vipande vipande
Baada ya utawala wa Kizayuni wa Israel kufanya shambulio la kigaidi huko Doha, mji mkuu wa Qatar, Waziri Mkuu wa Misri amesema kwamba nchi yake nayo inalengwa katika njama za…
Jinai kwa kinga; je, utawala wa Kizayuni unakanyaga vipi sheria za vita
Katika taarifa, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani vikali shambulio la jeshi la utawala ghasibu wa Israel dhidi ya raia karibu na hospitali ya Shafa, magharibi mwa…
Ijumaa, 19 Septemba, 2025
Leo ni Ijumaa tarehe 26 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na Septemba 19, 2025 Miladia.
Ushirikiano wa Iran na Saudi Arabia kwenye njia ya kusaidiana na utaratibu mpya wa kikanda
Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mohammed bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia wamekutana mjini…
Pezeshkian: Ushirikiano wa “mafanikio” wa Iran na Russia unaashiria mwisho wa zama za uchukuaji hatua za upande mmoja
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kigezo "kilichofanikiwa" cha ushirikiano kati ya nchi huru, zikiwemo na Iran na Russia, utathibitisha kwamba zama za uchukuaji hatua za…
Askari wanne wa utawala wa kizayuni waangamizwa, wanane wajeruhiwa kusini mwa Ghaza
Vyanzo vya habari vimeripoti kuwa wanajeshi wanne wa utawala wa kizayuni wa Israel wameangamizwa na wengine wanane wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu lililotegwa ardhini kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
Mayahudi wa Othodoksi waanza kuandamana New York dhidi ya Netanyahu kabla hajaelekea UN
Mamia ya Wayahudi wa madhehebu ya Othodoksi wamefanya maandamano katika jiji la New York kupinga ushiriki wa waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu katika mikutano ya…
Balozi wa Marekani Israel: Israel ndiye mshirika wetu pekee wa kweli katika eneo la Mashariki ya Kati
Balozi wa Marekani katika utawala wa kizayuni wa Israel, Mike Huckabee amesema, 'pamoja na Washington kuwa na washirika na marafiki kadhaa katika eneo la Mashariki ya Kati, "Israel ndiye mshirika…
Uingereza inamngojea Trump amalize ziara yake ndipo itangaze kulitambua Dola la Palestina
Uingereza itaitambua rasmi Palestina kama Dola mwishoni mwa wiki hii baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhitimisha ziara yake ya kiserikali nchini humo. Hayo yamefichuliwa na gazeti la The…
Financial Times: EU inapanga kuzitumia yuro bilioni 170 fedha za Russia inazozishikilia
Gazeti la Financial Times limeripoti kuwa Umoja wa Ulaya (EU) umeamua kutekeleza mpango wa kuzitumia yuro bilioni 170 milki za Russia inazozishikilia kurudisha "mikopo ya fidia" kwa Ukraine.
Araqchi: Nchi za Ulaya zinapasa kuonyesha nia ya dhati na ya kweli katika diplomasia
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi jana amezungumza kwa simu na Mawaziri wenzake wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Ujerumani na Uingereza na pia na mwanadiplomasia wa…
Eslami: Vitisho vya maadui vinaendelea; hali ya kuaminiana na IAEA inapasa kujengwa upya
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema vitisho kutoka kwa maadui wa Jamhuri ya Kiislamu vinaendelea tangu kujiri mashambulizi ya Israel na Marekani dhidi ya vituo vya…