Kwa mara ya kwanza Netanyahu akiri kwamba Israel imenasa kwenye kinamasi cha 'kutengwa' kimataifa
Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amekiri kwa mara ya kwanza hadharani kwamba utawala huo ghasibu unatumbukia kwenye lindi la “kutengwa,” wakati mashinikizo ya kimataifa yakiwa…
Uhispania itasusia Eurovision ikiwa Israel itashiriki, RTVE yatangaza
Uhispania haitashiriki katika mashindano ya Eurovision “ikiwa Israel itaendelea kushiriki katika tamasha la muziki huku mauaji ya watu wengi huko Gaza yakiendelea,” shirika la utangazaji la RTVE limetangaza leo Jumanne,…
Iran yatwaa taji la ubingwa wa dunia wa Miereka 2025, yaziacha nyuma Russia na Marekani
Timu ya taifa ya mchezo wa miereka aina ya Freestyle ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Mashindano ya Dunia ya Miereka ya mwaka 2025 yanayofanyika mjini…
Israel yaanzisha operesheni ya ardhini Gaza City
Jeshi la Israel limeishambulia Gaza City kutoka ardhini usiku wa kuamkia leo huku vikosi vyake vikitanua operesheni hizo katika ngome ya wanamgambo wa Hamas katikati ya mji huo. Jeshi hilo…
Wataalam wa UN: Israel inafanya mauaji ya kimbari Gaza
Ripoti hiyo, iliyotolewa Septemba 16, 2025, imesema Israel imefanya vitendo vinne kati ya vitano vinavyotambuliwa kimataifa kama mauaji ya kimbari, katika mzozo wake na Hamas ikiwemo: Kuua raia kwa makusudi,…
Zelensky asema Urusi imerusha droni 3,500 mwezi Septemba
Rais Volodymyr Zelensky ameandika hayo kwenye ukurasa wake wa X na kuongeza kuwa kumekuwa pia na visa vya uchokozi wa Urusi dhidi ya washirika wa Ukraine. Zelensky ameendelea kuwatolea wito…
Lissu agoma, ataka wanaCHADEMA waruhusiwe kuingia mahakamani
Vuta nikuvute imeshuhudiwa kwenye Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Dar es Salaam nchini Tanzania baada ya Lissu kuiomba mahakama iahirishe kesi hiyo hadi pale wafuasi wake watakaporuhusiwa. Leo Jumanne Lissu…
Ghaza yaandamwa na mashambulio ya kiwendawazimu ya Wazayuni, wanakaribia kuikalia kikamilifu
Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limeanzisha mashambulizi makali ya anga dhidi ya Mji wa Ghaza kwa saa kadhaa, ambapo mbali na kuwaua shahidi Wapalestina kadhaa linateketeza pia majengo…
UN: Viongozi wa Sudan Kusini wapora mali ya nchi
Miongoni mwa uporaji uliotajwa ni kulipa dola bilioni 1.7 kwa makampuni yanayohusishwa na Makamu wa Rais Benjamin Bol Mel kwa ujenzi wa barabara ambayo haijawahi kufanyiwa kazi yoyote. Kulingana na…
Donald Trump afanya ziara rasmi Uingereza
Mkataba huo utaonesha kuwa ushirikiano wa Marekani na Uingereza unasalia kuwa imara licha ya tofauti kuhusu mizozo ya Ukraine, Mashariki ya kati na pia kuhusu mustakabali wa miungano ya nchi…
Trump awasili Uingereza kwa ziara ya pili ya kifalme
Ziara ya Trump inafanyika wakati vita vinaendelea Ukraine na Mashariki ya Kati, mataifa makubwa yakikabiliana na ushuru wa Marekani, na hii leo Uingereza ina matumaini kuwa maonesho ya kifalme yaweza…
Jumanne, 16 Septemba 2025
Leo ni Jumanne tarehe 23 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na Septemba 16, 2025. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Rushwa iliyokithiri Sudan Kusini inatishia ustawi wa taifa hilo
Tume ya haki za binadamu ya umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, yatoa wito kwa idara za uchunguzi nchini Kenya, kuchunguza tuhuma za rushwa na utakatishaji fedha dhidi ya makamu…
Rais wa Iran azitahadharisha nchi za Kiislamu Doha: Hakuna nchi itakayokuwa salama na uchokozi wa Israel
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mashambulizi ya Israel ya Septemba 9 dhidi ya Qatar yameonyesha kuwa hakuna nchi ya Kiarabu au ya Kiislamu iliyo salama…
Gaza: Uchunguzi wa Umoja wa Mataifa unaishutumu Israel kwa ‘mauaji ya kimbari’
Tume huru ya kimataifa ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imeishutumu Israel leo Jumanne, Septemba 16, kwa kufanya “mauaji ya halaiki” katika Ukanda wa Gaza tangu kuanza kwa vita mnamo…
Simbu alivyojitabiria kutwaa dhahabu miaka 8 iliyopita
Chanzo cha picha, Getty Images 15 Septemba 2025 Mara ya kwanza aliposhika viatu vya riadha akiwa kijana mdogo huko Singida, hakuwahi kudhani kwamba baada ya miaka miwili baadaye angekuwa shujaa…
Kwanini shida ya Man Utd sio mfumo ila ‘watu binafsi’
Chanzo cha picha, BBC Sport 15 Septemba 2025 Ninahisi kama najirudia kila ninapozungumzia matatizo ya Manchester United lakini mambo yale yale yanaendelea kutokea. Wanafanya makosa yale yale, na hata si…
Ripoti: Ulanguzi wa dawa za kulevya Afrika Magharibi waambatana na matumizi yasiyodhibitiwa
Eneo la Afrika Magharibi linakabiliwa na ulanguzi mkubwa wa dawa za kulevya unaoambatana na matumizi yasiyodhibitika. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
BBC Africa Eye: Mtandao wa biashara haramu ya ngono unaoendeshwa kutoka Dubai wafichuliwa na BBC
Maelezo ya picha, Charles Mwesigwa – anayejulikana kwa jina la Abbey – anasema wanawake wanaomfanyia kazi ni machachari sana Maelezo kuhusu taarifa Author, Runako Celina Nafasi, BBC Eye Investigations 15…
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
Asasi za kiraia zatoa wito kwa makampuni ya Ulaya kuacha kufanya biashara na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Zaidi ya mashirika 80 yasiyo ya kiserikali (NGOs) yamezitaka nchi na makampuni ya Ulaya kuacha kufanya biashara na vitongoji haramu vinavyojengwa na utawala ghasibu wa Israel katika Palestina inayokaliwa kwa…
Marekani yashambulia tena boti ya Venezuela inayotuhumiwa kwa ‘usafirishaji wa dawa za kulevya’
Mvutano unaongezeka kati ya Washington na Caracas baada ya shambulio lingine la Marekani dhidi ya meli ya Venezuela katika Bahari ya Caribbean. Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa jeshi…
Je, vijana wako tayari kuchukuwa nafasi yao katika uongozi wa kitaifa Afrika Mashariki?
Chanzo cha picha, GP Maelezo kuhusu taarifa Author, Na Laillah Mohammed Nafasi, BBC Swahili X, @leilakhatenje Akiripoti kutoka Nairobi Kenya Dakika 20 zilizopita Ni msimu wa siasa za uchaguzi katika…
Tetesi za soka Ulaya Jumanne 16.09.2025: Halaand, Guehi, Branthwaite, Makio, Wharton
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Erling Halaand Saa 2 zilizopita Mshambuliaji wa Manchester City Erling Haaland amekuwa kivutio kikuu kwa rais wa Barcelona Joan Laporta, ambaye ana…
Wananchi wa Malawi wanapiga kura leo, uchumi wazidi kuzorota
Wananchi wa Malawi wanaelekea kwenye vituo vya kupigia kura leo Jumanne katika uchaguzi utakaomchuanisha Rais Lazarus Chakwera na mtangulizi wake Peter Mutharika, huku mfumuko wa bei uliokithiri na uhaba wa…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Eslami: Shambulio dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran lilikuwa shambulio dhidi ya itibari ya IAEA
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesisitiza katika Mkutano Mkuu wa 69 wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kwamba: Mashambulio ya Marekani na utawala…
Rwanda-DRC: Mfumo wa ushirikiano wa kiuchumi wa kikanda kuanza kufanya kazi
Tarehe 1 Agosti, DRC na Rwanda zilitia saini, chini ya mwamvuli wa Marekani, taarifa ya kanuni za mfumo wa ushirikiano wa kiuchumi wa kikanda. Mfumo huu utasimamia ushirikiano wa kiuchumi…
DRC: AFC/M23 yazindua kikosi kipya cha wanajeshi 7,000 licha ya mazungumzo yanayoendelea Doha
Kundi la waasi wa AFC/M23 limezindua kikosi kipya cha zaidi ya wanajeshi 7,000 tarehe 14 Septemba Mashariki mwa DRC, wakati wa hafla iliyofanyika katika kituo chake cha mafunzo huko Rumangabo,…
Sudan: Jeshi laendelea kusonga mbele Kordofan wakati RSF ikiongeza mashambulizi ya Drone
Nchini Sudan, Jimbo la Kordofan Magharibi limekuwa likikumbwa na mapigano makali kwa wiki kadhaa kati ya jeshi na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF). Katika kukabiliana na kusonga mbele kwa…
Mauaji ya Charlie Kirk: Tunachojua kuhusu Tyler Robinson, mshukiwa aliyetajwa
Chanzo cha picha, Handout Maelezo ya picha, Tyler Robinson mwenye umri wa miaka 22 yuko kizuizini na hivi karibuni atashtakiwa, kulingana na Gavana wa Utah Spencer Cox Dakika 5 zilizopita…
Chad: Wabunge waongeza muda wa rais kukaa madarakani
Wabunge nchini Chad, Jumatatu ya wiki hii walipitisha marekebisho ya katiba yanayoongeza muda wa rais kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 na kwa kipindi kisichokuwa na ukomo. Imechapishwa: 16/09/2025…
Haiti: Zaidi ya hamsini wauawa katika shambulio la magenge
Zaidi ya watu 50 waliuawa wiki iliyopita katika mfululizo wa mashambulizi ya magenge nchini Haiti, kulingana na ripoti iliyotolewa siku ya Jumatatu na Mtandao wa Kitaifa wa Kutetea Haki za…
Rubio aelekea Qatar ´kutuliza joto´ msuguano na Israel
Ziara hiyo inanuwia kupunguza mvutano baada ya Israel kuushambulia mkutano wa viongozi wa kundi la Hamas uliokuwa ukifanyika kwenye mji mkuu wa taifa hilo la Ghuba Jumanne iliyopita. Ofisi ya…
Nchi za kiarabu na kiislamu zataka ´kuisusa´ Israel
Mwito huo umetolewa kupitia tamko la pamoja la viongozi wa karibu mataifa 60 wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na ile ya nchi za kiislamu baada ya kumalizika kwa…
Malawi inafanya uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani
Kadhia ya mfumuko wa bei na upungufu mkubwa wa nishati ya mafuta vinatajwa kuwa masuala muhimu yanayowashughulisha zaidi wapigakura. Wagombea wengine 15 akiwemo rais wa zamani Joyce Banda pia wanawania…
WMO: Tabaka la Ozoni linarejea kwenye hali ya asili
Tabaka hilo hutoa kinga kwa uso wa dunia dhidi ya miale ya jua na kutengamaa kwake kunatokana na miongo minne ya juhudi za kimataifa za kupunguza utoaji gesi chafuzi. Ripoti…
Zaidi ya watu 50 wameuawa na magenge ya wahalifu Haiti
Hayo yameelezwa na shirika moja la kiraia nchini humo ambalo limearifu kwamba mashambulizi hayo yalitokea kati ya Septemba 11 na 12 kwenye maeneo ya kaskazini mwa mji mkuu, Port-au-Prince. Shirika…
Trump asema hakufahamishwa na Netanyahu kabla ya Israel kushambulia Qatar
Chanzo cha picha, Reuters Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku ya Jumatatu kuwa hakujulishwa na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mapema kuhusu shambulizi la Israel nchini Qatar wiki…
Sudan Kusini: Upinzani wataka kufanyika kwa mabadiliko ya uongozi wa sasa
Upinzani nchini Sudan Kusini, umetoa wito wa uhamasishaji kwa wafuasi na vikosi vyake kujitayarisha kufanya mabadiliko ya uongozi wa serkali, ili kujibu mpango wa serikali wa kutaka kumfungulia kiongozi wake…
Israel yaanza operesheni ya ardhini Gaza City
Mtandao wa habari wa Axios umeripoti taarifa hizo ukiwanukuu maafisa kadhaa wa Israeli. Serikali mjini Tel Aviv ilitangaza mpango wa kuukamata mji wa Gaza zaidi ya mwezi mmoja uliopita. Kwa…
Rwanda: Bunge lapinga maazimio ya EU kuhusu kuachiwa kwa Victoire Ingabire
Wabunge wa Rwanda, Jumatatu ya wiki hii walipitisha azimio kulaani wito wa hivi karibuni wa bunge la umoja wa Ulaya lililoitaka serikali ya Kigali, kumuachia huru bila masharti, mwanasiasa Victoire…
Namna Ghaza inavyowabebesha jinamizi la kiafya wanajeshi wa Israel
Makumi ya wanajeshi wa utawala wa wa Kizayuni wa Israel waliovamia Ghaza wameambukizwa magonjwa ya ngozi ya kuambukiza. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Burkina Faso: Karibia watu 50 wameuawa katika mashambulio ya kigaidi tangu Mei
Mashambulio matatu yaliyotekelezwa na makundi ya kijihadi nchini Burkina Faso, tangu mwezi Mei, yamesababisha vifo vya watu karibu 50, kwa mujibu wa ripoti za Shirika la Human Rights Watch.
Matukio ya moto kuteketeza masoko na mitaji ya wafanyabiashara
Matukio ya moto kuteketeza masoko na mitaji ya wafanyabiashara. Je, wanaelimishwa ili kushiriki kuweka mazingira na mifumo ya kudhibiti majanga haya? ##Swalilakipimajoto #16Septemba2025
Raia wa Malawi wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa urais
Raia wa Malawi, hivi leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa rais, Wabunge na madiwani, uchaguzi ambao unatarajiwa kuamua mustakabali wa taifa hilo kuhusu uchumi na vita dhidi ya rushwa.…
Ripoti: Mossad yaahirisha mpango wa hujuma ya nchi kavu dhidi ya Hamas Nchini Qatar
IQNA – Shirika la ujasusi la Israel, Mossad, limeahirisha mpango wa uvamizi wa nchi kavu uliolenga kuwaua viongozi wa Hamas walioko Qatar, mpango uliokuwa ukifanyiwa kazi katika wiki za hivi…
Save the Children: Zaidi ya nusu ya waathiriwa wa tetemeko la ardhi mashariki mwa Afghanistan ni watoto
Shirika la Kimataifa la Save the Children limetangaza kuwa, karibu watoto 1,200 wamepoteza maisha na maelfu ya wengine kuachwa bila makao katika tetemeko la ardhi la hivi majuzi mashariki mwa…
Familia za mateka: Netanyahu ndiye kikwazo cha kuwarudisha mateka nyumbani
Familia za mateka wa Israel wanaoshikiliwa na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS kwa mara nyingine tena zimemtuhumu Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel kuwa…