Qatar yaishutumu Israel kutowajali mateka wake Gaza
Hata hivyo Israel imeendelea kusema operesheni zake za kijeshi huko Gaza zinalenga kuwaokoa mateka wote wanaozuiliwa na Hamas na kuliangamiza kabisa kundi hilo. Matamshi ya Hamad Al-Thani yamekuja leo wakati…
Waisraeli wazuiwa kujiunga na chuo cha ulinzi Uingereza
Hii inamaanisha kuanzia mwaka ujao wanafunzi kutoka Israel hawatokubaliwa kujiunga na chuo hicho kinachotoa mafunzo ya kimataifa ya kimkakati kwa wanafunzi wa Uingereza na maeneo mengine ya dunia. Israel imekasirishwa…
Makubaliano dhidi ya uvuvi wa kupindukia yaanza kutekelezwa
Mkataba huo unakataza ruzuku kwa ajili ya meli zinazochangia uvuvi haramu, usioripotiwa na usiodhibitiwa lakini pia uvuvi kwenye bahari kuu. Utafiti wa mwaka 2019 uliochapishwa kwenye jarida la Marine Policy…
Waziri wa Ulinzi wa Venezuela aonya askari wa US: Msiwe wapumbavu
Waziri wa Ulinzi wa Venezuela, Vladimir Padrino López amelaani kitendo cha Marekani cha kupeleka vikosi vyake vya majini kwenye visiwa vya Caribbean kwa kisingizio kupambana na ulanguzi wa dawa za…
China: Marekani iwe makini na matendo yake
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China, Lin Jian, amesema matakwa ya China yakiathirika kwa namna yoyote ile, itachukua hatua sawa kulinda usalama na maslahi yake. Jian amesema…
Upinzani Sudan Kusini wahamasisha vikosi kubadilisha utawala
Machar, ambaye alikuwa makamu wa kwanza wa rais chini ya mkataba wa kugawana madaraka wa mwaka 2018, aliondolewa madarakani wiki iliyopita baada ya hapo awali kuwekwa chini ya kifungo cha…
Merz: CDU imeibuka kuwa imara katika uchaguzi wa NRW
Ushindi huo unatokea wakati chama kinachofuata siasa kali za mrengo wa kulia, AfD, kikiongeza umaarufu wake kwa asilimia 5 ikilinganishwa na uchaguzi uliopita wa mwaka 2020. Merz aliyeigia madarakani mwezi…
Marekani na Israel zasema kundi la Hamas lazima liangamizwe
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekutana na kufanya mazungumzo hii leo Jumatatu mjini Jerusalem na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio. Viongozi hao wametoa kauli inayosisitiza…
Rais wa Iran afanya mazungumzo na Amir wa Qatar
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo amekutana na kufanya mazungumzo na Amir wa Qatar katika mji mkuu wa nchi hiyo Doha. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Mrengo wa kulia wazidi kuimarika magharibi mwa Ujerumani
Vyama vya mrengo wa kushoto, Social Democrats (SPD) na Greens, vimeshindwa kulingana na matokeo ya awali. CDU imepata takribani asilimia 33.3 ya kura zote, huku SPD ikishika nafasi ya pili…
Watafiti wamegundua aina mpya ya ‘tembo wa maji’ huko Sabah
Kundi la wanasayansi wa baharini kutoka Chuo Kikuu cha Malaysia Sabah (UMS) limeandika historia kwa kugundua spishi mpya ya tardigrada wa baharini, waliyoipa jina Batillipes Malaysianus kwa heshima ya nchi…
Ulimwengu wa Spoti, Sep 15
Natumai u mzima wa afya mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.…
Rubio kutafuta majibu ya shambulizi la Qatar na Netanyahu
Israel iliishambulia Qatar ikiwalenga viongozi wa Hamas. Hatua hiyo inahofiwa huenda ikaathiri juhudi za usitishwaji mapigano Gaza. Rubio amesema Marekani imekasirishwa na uamuzi wa Israel kuishambulia Qatar lakini sasa ni…
Jeshi la Pakistan limesema limeua watuhumiwa kadhaa wa ugaidi ndani siku mbili
Jeshi la Pakistan limesema limeua watuhumiwa kadhaa wa ugaidi ndani siku mbili Jeshi la Pakistan limesema Jumatatu kuwa katika mashambulio mawili ya usalama yaliyofanyika katika sehemu ya kaskazini magharibi ya…
UNRWA: Hakuna sehemu salama katika Ukanda wa Gaza
Philippe Lazzarini, Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema kuwa, hivi sasa hakuna sehemu salama huko Gaza na kwamba mashambulizi ya anga yanaendelea…
Mataifa ya kiarabu yajadili shambulizi la Israel, Qatar
Qatar inatumai viongozi wanaoshiriki mkutano huo wa dharura watakuja na mbinu ya kuizuwia Israel wakati ikiendeleza vita vyake dhidi ya Hamas katika Ukanda wa Gaza. Shambulizi hilo limekuja wakati Qatar…
Ramla Ali: Mwanamuziki wa kwanza wa Olimpiki wa Somalia anarudi nyumbani kama shujaa
Bondia wa kwanza wa Olimpiki wa Somalia, Ramla Ali, amerudi nchini mwake kwa mara ya kwanza baada ya miaka 30 akiwa ughaibuni. Ramla alipokelewa kwa shangwe na halaiki kubwa na…
🔴AIBU YAKO HATA WEWE: VYOMBO VYA MOTO VINAVYOTOA MOSHI KUPITILIZA VYANASWA| SEPT 08, 2025
🔴AIBU YAKO HATA WEWE: VYOMBO VYA MOTO VINAVYOTOA MOSHI KUPITILIZA VYANASWA| SEPT 08, 2025——— FUATILIA HAPA KIPINDI HIKI….. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel :…
Vladimir Putin aionya Ulaya dhidi ya kuchukua mali zake
Shirika la habari la Reuters limeripoti kwamba Rais wa Halmashauri kuu ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameitaka Ulaya kutafuta namna mpya ya kufadhili ulinzi wa Ukraine dhidi ya uvamizi…
CDU yaongoza katika uchaguzi wa North Rhine-Westphalia
Matokeo ya awali yanaonyesha chama hicho cha Kansela Friedrich Merz kinatarajiwa kujizolea asilimia 33.3 ya kura kikifuatiwa na chama cha siasa za wastani zinazoegemea mrengo wa kushoto cha SPD kikiwa…
DR Kongo yaanza kutoa chanjo dhidi ya mripuko mpya wa Ebola
Mripuko wa ugonjwa huo hatari uliripotiwa mapema mwezi huu kwenye kitongoji cha Bulape na kusababisha vifo vya watu 16 na wengine 68 wanashukiwa kuwa wameambukizwa. WHO imesema dozi za awali…
Simbu, Mtanzania wa kwanza kushinda medali ya dhahabu
15.09.202515 Septemba 2025 Kwa muda mrefu, Tanzania imekuwa ikitazama kwa mbali mafanikio ya majirani zake Kenya na Ethiopia ambao wamekuwa wakitawala mbio za masafa marefu duniani, hata hivyo mwanariadha Alphonce…
WHO: Chanjo ya Ebola yaanza kutolewa kusini mwa DRC
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, utoaji chanjo kwa watu walio kwenye hatari ya kupata maambukizi ya ugonjwa wa Ebola umeanza kusini mwa jimbo la Kasai nchini Jamhuri ya…
Doha: Rais wa Iran azitaka nchi za Kiislamu kuvunja uhusiano na Israel
Rais wa Iran Massoud Pezeshkian siku ya Jumatatu, Septemba 15, ametoa wito kwa nchi za Kiislamu kuvunja uhusiano na Israel kabla ya mkutano wa kilele uliopangwa kufanyika mjini Doha ili…
Siku ya Kimataifa ya Demokrasia: Mambo yakoje nchini Uganda?
Mienendo ya kamatakamata ya wafuasi wa vyama vya upinzani na hasa kuelekea kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu, ni miongoni mwa vielelezo vya kudorora kwa demokrasia nchini Uganda. Wadadisi wa…
London na Washington kusaini makubaliano ya kuharakisha miradi yao ya nyuklia
London na Washington zitatia saini makubaliano ya kuharakisha mchakato wa utoaji leseni na uthibitishaji wa miradi ya nyuklia kati ya nchi hizo mbili wakati wa ziara ya Donald Trump nchini…
Mahakama Kuu ya Tanzania yatupa mapingamizi ya Lissu
Jaji Kiongozi wa kesi hiyo, Dunstan Ndunguru ameahirisha kesi hiyo Jumatatu hadi majira ya saa nane mchana ambapo itasikilizwa katika awamu ya mashtaka. Kwa mara nyingine tena, mapingamizi yaliyowekwa na…
Guinea: Raia wagawanyika kuhusu uwezekano wa kuundwa kwa Bunge la Seneti
Nchini Guinea, kampeni ya kura ya maoni ya katiba inaingia katika hatua yake ya mwisho kabla ya upigaji kura siku ya Jumapili, Septemba 21. Kipindi hiki kinaingiliana na kusimamishwa kwa…
Russia yaionya Ulaya dhidi ya kuchukua mali yake
Onyo la Urusi limejiri baada ya ripoti kudokeza kwamba Umoja wa Ulaya unapendekeza kutumia mali ya Urusi ambayo yamezuiwa yenye thamani ya mabilioni ya dola ili kuisaidia Ukraine. Punde tu…
HAMAS: Kufanya ibada ya Kiyahudi Rubio na Netanyahu kwenye Ukuta wa Buraq ni kuitusi Quds na Msikiti wa Al Aqsa
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, hatua ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, pamoja na Benjamin Netanyahu, ambaye anasakwa na Mahakama ya Kimataifa…
Mashahambulizi ya Israel Qatar: UN yaitisha mkutano wa dharura wa Baraza la Haki za Kibinadamu
Umoja wa Mataifa umetangaza Jumatatu, Septemba 15, 2025, kwamba Baraza la Haki za Kibinadamu litakutana kwa dharura siku ya Jumanne Septemba 16, kujadili mashambulizi ya Israel nchini Qatar ambayo yaliwalenga…
Jopo la mawakili wa makamu wa Rais wa Sudan Kusini wasema wako tayari kwenda mahakamani
Timu ya utetezi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Sudan_Kusini, Riek Machar, na washtakiwa wengine saba imesema iko tayari kwa kesi itakayowakilishwa. “Septemba 12, sisi kama timu ya…
Araghchi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko bega kwa bega na Qatar na Waislamu wote
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ambaye yuko mjini Doha, Qatar kushiriki katika mkutano wa dharura wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Kiislamu na Kiarabu, amesisitiza…
#MEZAHURU: Kitu gani kifanyike kuboresha umuhimu wa Kliniki za ardhi nchini..?
#MEZAHURU: Kitu gani kifanyike kuboresha umuhimu wa Kliniki za ardhi nchini..? ili kupunguza migogoro.
#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imetupilia mbali mapingamizi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokra…
#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imetupilia mbali mapingamizi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu aliyoyasilisha katika mahakama hiyo ikiwemo…
Al Mayadeen: Rasimu ya taarifa ya kikao cha Doha itakuwa ya kurudia kuulaani tu utawala wa kizayuni
Rasimu ya mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za Kiarabu na Kiislamu unaofanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha inaonyesha kuwa, taarifa itakayotolewa mwishoni mwa kikao hicho itakuwa ni…
Jumatatu, 15 Septemba, 2025
Leo ni Jumatatu 22 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na 15 Septemba 2025. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Hatma ya Tundu Lissu kujulikana leo, kuachiwa au kuendelea kusota gerezani?
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Lissu Saa 3 zilizopita Hatma ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, inatarajiwa kujulikana leo Jumatatu, Septemba 15, 2025, wakati Mahakama Kuu ya…
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 15.09.2025: Nuno, Gustavo, Potter, Yildiz, Dumfries
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Nuno Espirito Saa 2 zilizopita West Ham wanaweza kumnunua Nuno Espirito Santo iwapo watamtimua Graham Potter, Arsenal miongoni mwa timu zinazomtaka Luiz…
Hamas yatoa wito wa msimamo wa pamoja wa Kiislamu dhidi ya Israel katika Mkutano wa Doha
Harakati ya Kiislamu ya Kupigania Ukombozi wa Palestina,, Hamas, imelaani vikali shambulio la hivi karibuni la Israel dhidi ya Qatar, ikilitaja kuwa ni tendo la “ waoga,” na kutoa wito…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Jumatatu, 15 Septemba, 2025
Leo ni Jumatatu 22 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na 15 Septemba 2025. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Israel yazidisha mashambulizi Gaza wakati Rubio akitua Tel Aviv
Vikosi vya Israel vimeharibu takriban majengo 30 ya makazi huko Gaza na kuwalazimisha maelfu ya watu kuhama makazi yao, maafisa wa Palestina wamesema, wakati Waziri wa Mambo ya Nje wa…
Uchaguzi Mkuu 2025: Tanzania inapitia majaribu ya demokrasia?
Dakika 34 zilizopita Septemba 15, duniani kote huadhimisha siku ya demokrasia, siku iliyoanzishwa na Umoja wa Mataifa kuangazia umuhimu wa wananchi kushiriki kikamilifu katika maamuzi ya taifa na kuhakikisha viongozi…
Qatar yaitisha mkutano wa mataifa ya kiarabu na kiislamu kulaani uchokozi wa Israel
Qatar imeitisha mkutano wa dharura wa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu leo Jumatatu, Septemba 15, kulaani shambulio la Israel katika ardhi yake siku sita zilizopita. Viongozi wa nchi 57 wanachama…
Tanzania: Hatma ya Mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema Tundu Lissu kujulikana leo Jumatatu
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, inatarajia kutatoa uamuzi wa kuamua kama kesi ya uhaini inayomkabili mshtakiwa itafutwa, itarudishwa Kisutu au kuendelea Mahakama Kuu. Imechapishwa: 15/09/2025…
Mtuhumiwa wa mauaji ya Kirk 'hatoi ushirikiano' kwa mamlaka, gavana asema
“Ushahidi zaidi na taarifa” juu ya mauaji ya Kirk zitapatikana mara tu mashtaka yatakapowasilishwa katika kesi hiyo. Source link
Tanzania: Luhaga Mpina mgombea upinzani akabiliwa na pingamizi jengine
Mgombea urais wa chama cha upinzani nchini Tanzania ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, sasa anakabiliwa na pingamizi jingine la kisheria kama mgombea, baada ya mwanasheria wa serikali na vyama vingine viwili…
Rubio ziarani Israel wakati mashambulizi yanaongezeka Gaza
Israel imesema inapanga kuukamata kikamilifu mji wa Gaza, ambao ndio mkubwa zaidi kwenye ardhi hiyo ndogo ya Wapalestina. Mashambulizi ya Israelyamefanyika wakati Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani, Marco…