Waziri wa zamani wa sheria wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Constant Mutamba amehukumiwa siku ya Jumanne, Septemba 2, kifungo cha miaka mitatu ya kazi ya kulazimishwa na marufuku ya miaka mitano ya kushikilia wadhifa wowote kwa ubadhirifu wa fedha za umma.
DRC: Waziri wa Zamani Constant Mutamba ahukumiwa miaka mitatu ya kazi ya kulazimishwa