Waziri Mkuu wa Uhispania: Nasikitika hatuna bomu la nyuklia tukaizuia Israel isishambulie Ghaza!Waziri Mkuu wa Uhispania: Nasikitika hatuna bomu la nyuklia tukaizuia Israel isishambulie Ghaza!

[ad_1]

Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez ameendelea kukosoa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina huku akieleza kwa masikitiko kwamba Uhispania haina bomu la nyuklia, manowari ya kubebea ndege za kivita, wala utajiri mkubwa wa mafuta, vitu vitakavyoiwezesha kusimamisha peke yake mashambulizi ya utawala huo dhidi ya Ghaza; lakini hiyo haimaanishi kwamba Madrid itasitisha juhudi zake.

[ad_2]

BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *