[ad_1]
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) limepitisha kwa wingi mkubwa sana wa kura “Azimio la New York” linalotoa mwongozo wa kuchukuliwa “hatua zinazoonekana, katika muda maalumu na zisizoweza kutenduliwa” kuelekea kwenye uundwaji wa Dola la Palestina.
[ad_2]
BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
UNGA laidhinisha kwa wingi mkubwa sana wa kura "Azimio la New York" la kuundwa Dola la Palestina