[ad_1]
Mshauri mwandamizi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, amesema kuwa dunia haiwezi kuendelea kufumbia macho ukatili wa Israel kufuatia mashambulizi yake ya kikatili dhidi ya Qatar, akieleza kuwa utawala huo haramu “hautambui mipaka” katika uhalifu wake.
[ad_2]
BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Velayati: Sambulizi la Qatar laonesha kuwa Israel ‘haina mipaka’ katika uhalifu wake