Indhari ya UN: Mafuriko makubwa Sudan Kusini yaweza kuathiri zaidi ya watu milioni mojaIndhari ya UN: Mafuriko makubwa Sudan Kusini yaweza kuathiri zaidi ya watu milioni moja

[ad_1]

Shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi (UNHCR) limetoa tahadhari kali kuhusu mafuriko makubwa yanayoendelea nchini Sudan Kusini, likisema kuwa tayari yameathiri watu wapatao 273,000 mwaka huu, na huenda yakawaathiri zaidi ya milioni moja katika miezi ijayo.

[ad_2]

BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *