[ad_1]
Madaktari wa kimataifa wanaohudumu katika Ukanda wa Ghaza wameripoti hali ya kushtusha na kuhuzunisha ya majeraha ya risasi walizopigwa watoto Wapalestina, na kuibua wasiwasi wa kwamba watoto hao wamelengwa kwa makusudi. Hayo ni kwa mujibu wa uchunguzi uliochapishwa na gazeti la kila siku la Uholanzi la de Volkskrant.
[ad_2]
BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Madaktari 17 wa kigeni waliohudumu Ghaza: Tumepokea watoto 114 waliopigwa risasi kichwani na kifuani
Madaktari 17 wa kigeni waliohudumu Ghaza: Tumepokea watoto 114 waliopigwa risasi kichwani na kifuani