Viongozi wa nchi za Kiislamu na Kiarabu wakutana Doha baada ya shambulio la Israel dhidi ya QatarViongozi wa nchi za Kiislamu na Kiarabu wakutana Doha baada ya shambulio la Israel dhidi ya Qatar

[ad_1]

Viongozi wa mataifa ya Kiislamu na Kiarabu wanakutana katika mji mkuu wa Qatar, Doha kujadili jibu rasmi na la pamoja la kutoa kwa shambulizi la kigaidi lililofanywa na Israel dhidi ya Doha wiki iliyopita, ambalo utawala huo wa kizayuni ulisema liliulenga uongozi wa harakati ya Hamas. Shamnbulio hilo limelaaniwa vikali katika eneo na kila pembe ya dunia.

[ad_2]

BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *