Ripoti: Mossad yaahirisha mpango wa hujuma ya nchi kavu dhidi ya Hamas Nchini QatarRipoti: Mossad yaahirisha mpango wa hujuma ya nchi kavu dhidi ya Hamas Nchini Qatar

[ad_1]

IQNA – Shirika la ujasusi la Israel, Mossad, limeahirisha mpango wa uvamizi wa nchi kavu uliolenga kuwaua viongozi wa Hamas walioko Qatar, mpango uliokuwa ukifanyiwa kazi katika wiki za hivi karibuni.

[ad_2]

BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *