Waziri wa Israel: Upo uwezekano wa kuwaua viongozi wa HAMAS walioko UturukiWaziri wa Israel: Upo uwezekano wa kuwaua viongozi wa HAMAS walioko Uturuki

[ad_1]

Waziri wa Nishati wa utawala wa kizayuni wa Israel, Eli Cohen ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Usalama na Kisiasa, amesema, upo uwezekano wa kuwaua kigaidi viongozi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS walioko Istanbul, Uturuki, na amedai pia katika mahojiano aliyofanyiwa jana Jumamosi na tovuti ya Saudi Elaf kwamba “mtu yeyote anayehusishwa na Hamas hawezi kulala kwa amani popote duniani.”

[ad_2]

BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *