Msikilizaji mahakama kuu kwenye jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania, hatimaye imepanga tarehe rasmi ya kuanza kusikiliza kesi ya mashtaka ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA na mkosoaji mkubwa wa Serikali, Tundu Lisu.
Lisu awataja Marta Karua, jaji mstaafu wa Kenya Mutunga kuwa mashahidi katika kesi yake ya uhaini.