Makamu wa Rais wa Sudan Kusini apandishwa kizimbani, ashtakiwa kwa makosa kadhaa ukiwemo uhainiMakamu wa Rais wa Sudan Kusini apandishwa kizimbani, ashtakiwa kwa makosa kadhaa ukiwemo uhaini

[ad_1]

Mahakama ya Sudan Kusini leo Jumatatu imeanza kusikiliza kesi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Riek Machar, ambaye amefutwa kazi na hasimu wake wa miongo kadhaa, Rais Salva Kiir, huku akikabiliwa na mashtaka kadhaa yakiwemo ya mauaji, uhaini na uhalifu dhidi ya binadamu yanayohusishwa na uasi na shambulio lililofanywa na wanamgambo wanaojulikana kama Jeshi Jeupe.

[ad_2]

BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *