Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais Donald Trump aukosoa Umoja wa Mataifa akiuita ni chombo kinachopiga maneno matupu / Mataifa matatu yanayoongozwa kijeshi ya Mali,Burkina Faso na Niger yamatangaza rasmi kujiondoa kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu (ICC)