23 Septemba 2025

Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaolenga kuzifufua juhudi za kuundwa kwa mataifa mawili kuendelea leo//Kongo imesema mkataba wa amani uliosainiwa kati yake na Rwanda haujasitisha mapigano mashariki mwa Kongo//Marekani imethibitisha kuwa italinda eneo la Jumuia ya Kujihami ya NATO dhidi ya ukiukaji wa usalama wa anga wa nchi wanachama wa NATO barani Ulaya, unaofanywa na Urusi.

https://p.dw.com/p/50vNi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *