Mamilioni ya abiria kuathiriwa na mgomo London
Mamilioni ya watu wanajiandaa kwa wiki ya hekaheka na matatizo ya usafiri jijini London Uingereza huku wafanyakazi wa treni za chini ya ardhi jijini humo wakianza mgomo wa siku tano.…
Mamilioni ya watu wanajiandaa kwa wiki ya hekaheka na matatizo ya usafiri jijini London Uingereza huku wafanyakazi wa treni za chini ya ardhi jijini humo wakianza mgomo wa siku tano.…
Maalfu ya wafuasi wa rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro wamefanya maandamano jana katika miji kadhaa, siku chache kabla mahakama ya juu kabisa ya nchi hiyo kupitisha hukumu ikiwa…
Maalfu ya wafuasi wa rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro wamefanya maandamano jana katika miji kadhaa, siku chache kabla mahakama ya juu kabisa ya nchi hiyo kupitisha hukumu ikiwa…
SK2 / S02S08.09.20258 Septemba 2025 Watu wanne wameuawa na wengine 15 wamejeruhiwa katika mashambulizi ya risasi mjini Jerusalem+++ Mamlaka zinazohusika na mawasiliano nchini Tanzania zimeufungia mtandao maarufu wa Jamii Afrika…
DIRA.BZ08.09.20258 Septemba 2025 Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Mbiu ya Mnyonge, Makala yetu Leo, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa. Sikiliza…
08.09.20258 Septemba 2025 Rais wa Marekani Donald Trump aashiria yuko tayari kuongeza shinikizo dhidi ya Urusi kwa awamu ya pili ya vikwazo. Kundi la Hamas lasema liko tayari kwa mazungumzo…
Kupitia ujumbe kwenye mitandao ya kijamii, Trump alisema: “Waisraeli wamekubali masharti yangu. Ni wakati wa Hamas pia kukubali. Nimewaonya kuhusu matokeo ya kutoafiki. Hili ndilo onyo langu la mwisho.” Mnamo…
Saudi Arabia imetangaza Jumapili miradi mipya ya kibinadamu nchini Syria ikiwemo kuondoa vifusi vya vita karibu na mji mkuu Damascus, wiki chache baada ya kusaini mikataba ya uwekezaji yenye thamani…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema yuko tayari kuanzisha awamu ya pili ya vikwazo dhidi ya Urusi, hatua inayoweza kulenga mauzo ya nishati ya Moscow na washirika wake. Hii ni…
Rais wa Marekani Donald Trump ameahidi kufukuza mamilioni ya wahamiaji kwa mpango mkubwa zaidi wa kuondoa watu kihistoria. Lakini ajenda yake ya uhamiaji inakabiliwa na majaribu makubwa mahakamani, huku sera…
Katika jimbo la Northern Cape, kusini mwa jangwa la Kalahari, mnara mrefu unaong’aa unasimama katikati ya vioo vya sola vilivyopangwa kwa mistari. Vioo hivyo hufuata mwanga wa jua mchana kutwa,…
Mvutano unaongezeka kati ya White House na mamlaka ya Chicago. Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyingine ametishia kuingilia kijeshi katika mji wa tatu kwa ukubwa nchini Marekani, unaotawaliwa…
Serikali ya mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa DRC imetoa tahadhari ya kitaifa na kimataifa kuhusiana na kuimarishwa kwa wanajeshi wa Rwanda katika eneo la Idjwi. Katika taarifa kwa vyombo…
Akihutubia wanahabari siku ya Jumapili, Septemba 7, mjini Beni (Kivu Kaskazini), Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na Operesheni za Amani Jean-Pierre Lacroix amebainisha dhamira ya Umoja wa…
Jeshi la Israel limesema majengo mawili marefu yaliyobomolewa wiki hii yalitumiwa na Hamas kufuatilia wanajeshi, madai yaliyokanushwa na kundi hilo. Hali hii imezidisha hofu ya kuzorota zaidi kwa hali ya…
Rais wa Halmashauri ya Ulaya Ursula von der Leyen amesema Kremlin “inadhihaki diplomasia, inakanyaga sheria za kimataifa na inaua kiholela,” huku Rais wa Baraza la Ulaya António Costa akiongeza kuwa…
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) limewaonyesha kwa waandishi wa habari siku ya Jumamosi, Septemba 6, watu sita waliokamatwa katika nyanda za juu za Fizi na Uvira, wakituhumiwa…
Ishiba, aliyekuwa madarakani tangu Oktoba mwaka jana, alikabiliwa na ukosoaji unaoongezeka na wito wa kuachia ngazi ndani ya chama chake cha Liberal Democratic Party (LDP) kufuatia kupoteza wingi wa viti…
Saudi Arabia imekuwa mfadhili mkuu wa serikali mpya ya Syria, iliyochukua madaraka baada ya kuondolewa madarakani, mtawala wa muda mrefu Bashar al-Assad mwezi Desemba uliopita. Katika hafla iliyofanyika leo mjini…
Akizungumza na gazeti la Italia La Repubblica, Grossi alisema hatari ya mzozo wa nyuklia leo ni kubwa zaidi kuliko ilivyokuwa zamani, huku mchakato wa kupunguza au kuondoa silaha hizo ukiwa…
Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba ametangaza kujiuzulu leo Jumapili, Septemba 7, chini ya mwaka mmoja baada ya kuchukua madaraka. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 68 anajiuzulu chini ya…
Ishiba, mwenye miaka 68, alisema ataendelea kushika wadhifa huo hadi kiongozi mpya wa chama atakapochaguliwa. Aliongeza kuwa uamuzi wake unalenga kuepusha mgawanyiko zaidi ndani ya chama, akisema: “Sasa ndiyo wakati…
Idadi ya wakimbizi wanaorejea Syria kutoka Ujerumani tangu kuanguka kwa utawala wa muda mrefu wa Bashar al-Assad imekuwa ikiongezeka taratibu, ingawa bado iko katika kiwango cha chini. Wizara ya Mambo…
Urusi imefanya shambulio kubwa zaidi la anga dhidi ya Ukraine tangu vita kuanza, kwa kurusha zaidi ya droni 800 na makombora 13 Jumapili alfajiri, na kuua watu wasipungua wanne, huku…
Msemaji wa jeshi la anga Yuriy Ihnat amethibitisha kuwa jumla ya droni 805 na makombora 13 yalirushwa, huku vikosi vya Ukraine vikiangusha droni 747 na makombora manne. Mengine yaliangukia maeneo…
Matamshi ya Saar wakati wa mkutano na waandishi wa habari mjini Jerusalem akiwa na mwenzake wa Denmark, yanakuja siku moja baada ya Hamas kusisitiza msimamo wake wa muda mrefu kwamba…
Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa Ishiba, mwenye umri wa miaka 68, anataka kuepusha mgawanyiko wa chama, huku shinikizo la kuachia madaraka likiongezeka kutoka kwa viongozi wakuu akiwemo waziri…
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani imesema kufikia Agosti, Wasyria 1,867 walirudi nyumbani kwa msaada wa serikali, huku wengine wakiondoka kupitia programu za majimbo au bila msaada. Kwa sasa…
Munoz-Gutierrez, alikuwa miongoni mwa kundi la watu wanane ambao wamekuwa chini ya ulinzi wa serikali ya nchi hiyo tangu walipotoka Marekani. Katika taarifa, wizara ya mambo ya nje ya Sudan…
Jesus Munõz Gutierrez alikabidhiwa kwa balozi aliyeteuliwa wa Mexico, Alejandro Ives Estivill, ambaye aliwasili Juba siku ya Ijumaa, taarifa hiyo ilisema. Juba ilisema inabaki kujitolea kushirikiana na washirika wa kimataifa…
Artan atajiunga na Jalal Jayed wa Morocco na Youcef Gamouh wa Algeria kama waamuzi wakuu kutoka bara la Afrika. Akiwa ni mwanzilishi katika soka la Kisomali, Artan hapo awali alikua…
Chanzo cha picha, Maxence Melo 6 Septemba 2025 Imeboreshwa Dakika 7 zilizopita Muasisi wa JamiiForums, Maxence Melo, amesema jukwaa hilo linalazimika kukubali uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusitisha…
Watu kumi na mmoja, wakiwemo watoto, walitoweka baada ya kiboko kupindua mashua yao kusini magharibi mwa Côte d’Ivoire, afisa wa serikali alisema Jumamosi. Waziri wa mshikamano wa kitaifa na mshikamano…
Nchini Burkina Faso, Chama cha Wanasheria kinashutumu kukamatwa kwa wakili Ini Benjamine Doli. Aliporejea kutoka likizo nje ya nchi, “alitekwa nyara” kutoka nyumbani kwake huko Ouagadougou na watu wenye silaha.…
Eygi, mwenye umri wa miaka 26, ambaye alikuwa na uraia wa nchi mbili wa Uturuki na Marekani, aliuawa na jeshi la Israeli wakati wa maandamano dhidi ya makazi haramu ya…
Hali ya kutisha kwa wakazi wa kijiji cha Dar El Jamal katika Jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria. Siku ya Ijumaa, Septemba 5, watu wenye silaha walivamia mji huu…
Chanzo cha picha, AFP via Getty Images Maelezo ya picha, Utafiti unaonyesha watu walio na viwango vya juu vya joto mara kwa mara wanazeeka haraka Maelezo kuhusu taarifa Author, Angela…
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mwaka wa shule, uliopangwa awali kuanza siku ya Jumatatu, Septemba 1, haukuanza tena katika shule kadhaa katika mikoa ya Kivu Kaskazini na Kusini.…
Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye ametangaza serikali mpya jioni ya Jumamosi, Septemba 6, ambapo Mawaziri wa Sheria na Mambo ya Ndani wameondoka na Waziri mpya wa Mambo ya Nje…
Chanzo cha picha, Getty Images Saa 1 iliyopita Nahodha wa Manchester United Bruno Fernandes, 30, bado anaweza kuhamia Saudi Arabia, Tottenham wanamtaka Morgan Rogers wa Villa, huku Arsenal wakikataa nia…
Makao makuu ya serikali ya Ukraine yalichomwa moto leo Jumapili, Septemba 7, mjini Kyiv wakati wa mashambulizi ya usiku ya Urusi yaliyosababisha vifo vya watu watano, ikiwa ni pamoja na…
Makao makuu ya serikali ya Ukraine yalichomwa moto leo Jumapili, Septemba 7, mjini Kyiv wakati wa mashambulizi ya usiku ya Urusi yaliyosababisha vifo vya watu watano, ikiwa ni pamoja na…
Chanzo cha picha, Anadolu via Getty Images Jeshi la Israel limeharibu jengo la pili kwa urefu katika mji wa Gaza, kama lililokuwa imelilenga. Waziri wa Ulinzi Israel Katz aliweka video…
Hii ni afueni kubwa kwa jamii za Venezuela na Haiti nchini Marekani. Zaidi ya raia milioni moja wa nchi hizi mbili, wanaotishiwa kufukuzwa, wanaweza kubaki Marekani—kwa sasa, angalau. Jaji wa…
Kwa mujibu wa walioshuhudia,jengo hilo refu ni la pili kudondoshwa baada ya Jeshi la Israel IDF kuliangusha jengo lingine refu hapo siku ya Ijumaa, kwenye eneo hilo. Taarifa ya kijeshi…
Nchini Kenya kesi za muda mrefu za Paul Mackenzie zinaendelea, huku kesi zikisikizwa wiki hii katika mahakama ya watoto ya Tononoka mjini Mombasa, pwani ya Kenya. Mchungaji huyo na washitakiwa…
Zelenskyy, amemweleza Putin kuwa pendekezo la rais huyo wa Urusi kwamba wakutane mjini Moscow kwa mazungumzo haliwezekani na badala yake rais wa Ukraine amependekeza kuwa ingekuwa bora kama watakuna mjini…
Jeshi la Israel limeharibu jengo jingine refu katika Jiji la Gaza siku ya Jumamosi, Septemba 6, likiwataka wakazi wake kuondoka kuelekea eneo ambalo limetangaza kuwa “la kibinadamu,” kwa kutarajia shambulio…
Mkurugenzi wa eneo la Berber Hassan Ibrahim Karar, amesema juhudi zinaendelea za kuwaokoa watu walionasa kwenye vifusi lakini hakutaja sababu ya kuporomoka kwa mgodi huo. Tangu mapigano yalipozuka nchini Sudan…
Jamii forums yafungiwa kwa siku 90 kwa ‘kudhalilisha serikali na Rais’ wa Tanzania Aidha TCRA imeongeza kuwa maudhui hayo yanakinzana na mila, desturi na utamaduni wa Kitanzania, hivyo kuhatarisha mshikamano…