“Netanyahu amepoteza mwelekeo”: Rais Erdogan wa Uturuki
Rais Recep Tayyip Erdogan amethibitisha tena uungaji mkono wa Uturuki kwa watu wa Palestina, huku akitoa ukosoaji mkali dhidi ya uongozi wa Israel. “Katika siku hizi ngumu ambapo serikali ya…
Rais Recep Tayyip Erdogan amethibitisha tena uungaji mkono wa Uturuki kwa watu wa Palestina, huku akitoa ukosoaji mkali dhidi ya uongozi wa Israel. “Katika siku hizi ngumu ambapo serikali ya…
Yalcin ametoa wito wa kusitishwa mapigano mara moja, kushtakiwa wahusika na kesi za uhalifu wa kivita, na kufanikisha suluhisho la mataifa mawili. Chama tawala cha Uturuki AK , kimekosoa kampeni…
Nchini Ufaransa, Waziri Mkuu Francois Bayrou anakabiliwa na kitisho cha kuangushwa kupitia kura ya maoni itakayopigwa muda wowote kutoka sasa katika bunge la nchi hiyo. Ufaransa iko kwenye mgogoro mkubwa…
Mkutano wa Pili wa Hali ya Hewa Afrika ulianzishwa Jumatatu huko Addis Ababa huku kukiwa na wito wa kubadilisha maneno kuwa vitendo kutoka kwa viongozi. Walisisitiza kuonesha Afrika sio tu…
Haya yanajiri wakati Rais Donald Trump wa Marekani akisisitiza pendekezo jipya la usitishaji mapigano. Mashambulizi mapya yamewaua takribani Wapalestina 40, wakiwemo mwandishi habari na watoto, na kusababisha maafa zaidi katika…
Ushirikiano huo ulisitishwa baada ya mashambulizi ya Marekani na Israel mnamo mwezi Juni dhidi ya Jamhuri hiyo ya Kiislamu. Grossi amesema bado kuna muda lakini sio mwingi, akibainisha wasiwasi juu…
Akizungumza wakati wa kikao cha bunge, waziri mkuu huyo amewataka wabunge wauunge mkono mpango wake wa kupunguza deni kubwa la taifa analosema “linaididimiza Ufaransa.” Bayrou ameonya kuwa nakisi ya bajeti…
Waandamanaji wanaitaka serikali kuondoa marufuku iliyowekwa kwa mitandao ya kijamii na kukomesha ufisadi. Msemaji wa polisi mjini Kathmandu, Shekhar Khanal, amethibitisha vifo hivyo. Polisi ilijaribu kuwadhibiti maelfu kwa maelfu ya…
Wanadiplomasia wa Umoja huo wamesema Ulaya inachukua hatua na haitorudi nyuma katika kuwaadhibu watu wengine wanaodaiwa kuhusika katika vita vya Urusi dhidi ya Ukraine. Katika vikwazo vyake 18 vya mwanzo,…
Kesi hiyo hata hivyo imesogezwa mbele hadi Septemba 9, baada ya mvutano mkubwa wa kisheria ulioibuka kuhusu kuahirishwa mara kwa mara kwa kesi hiyo. Mvutano wa kisheria umeibuka leo katika…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Gideon Saar ameilaumu Uhispania kwa kuendeleza kampeni ya chuki dhidi ya Wayahudi baada ya Waziri Mkuu Pedro Sanchez kutangaza hatua tisa zinazolenga kukomesha…
Kony anaandamwa na mashtaka kadhaa ya uhalifu dhidi ya binadamu na uhalifu wa kivita, yakiwemo mauaji, ubakaji na utumwa wa kingono. Anadaiwa kuongoza harakati za kikatili za LRA ziliyoitisha kaskazini…
08.09.20258 Septemba 2025 Tizama mwanasiasa kigogo wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu akifikishwa mara ya kwanza katika Mahakama Kuu, huko Dar es Salaam kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili. Duru zinasema…
Mradi wa bwawa hilo uitwao Grand Ethiopian Renaissance (GERD) unatajwa kuwa mkubwa zaidi wa kuzalisha umeme unaotokana na maji barani Afrika. Bwawa hilo la thamani ya dola bilioni 4 lina…
Klabu ya kandanda ya Bayer Leverkusen imemtangaza kocha wa zamani wa Denmark Kasper Hjulmand kama kocha wao mpya kwa kandarasi ya miaka miwili kufuatia kutimuliwa kwa Erik ten Hag wiki…
Tovuti kadhaa za mitandao ya kijamii – ikiwa ni pamoja na Facebook, YouTube na X imefungwa nchini Nepal tangu Ijumaa baada ya serikali kuzuia majukwaa 26 ambayo hayajasajiliwa, hatua iliyosababisha…
Bayrou hana nafasi yoyote ya kushinda kwenye kura hiyo aliyoiitisha mwenyewe, na ni hatua ambayo huenda ikaibua suintofahamu ya kisiasa na kukosekana kwa utulivu kwenye taifa hilo la pili kwa…
Ujumbe huo utakuwa na mikutano na Rais Donald Trump leo Jumatatu (08.09.2025 ) na kesho Jumanne (09.09.2025). Hapo jana, Trump alitishia kuiwekea Urusi vikwazo zaidi baada ya taifa hilo kufanya…
Akizungumza kuelekea operesheni ya jeshi la ardhini dhidi ya Jiji la Gaza, Katz amesema kundi hilo litasambaratishwa iwapo halitatimiza masharti yaliyotolewa. Serikali ya Israel inaendelea kutanua operesheni yake ya kulitwaa…
Majaji wa mahakama hiyo hapo kesho Jumanne (09.09.2025) watasikiliza keshi 39 za uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binaadamu dhidi ya Kony, yakiwemo mauaji, mateso na ubakaji. Kesi hiyo…
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) siku ya Jumanne, itasikiliza kesi ya kihistoria dhidi ya Joseph Kony, kiongozi wa kundi la waasi la Lord’s Resistance Army (LRA), ambaye amekuwa mafichoni…
Baerbock alipata kura 167, karibu mara mbili ya kura 88 zinazohitajika kushinda, huku mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Ujerumani, Helga Schmid, akipata kura saba na mataifa mengine 14 kujizuwia…
Mitandao mengi ya kijamii ikiwa ni pamoja na Facebook, YouTube, na X, imefungwa tangu siku ya Ijumaa wiki iliyopita baada ya serikali kufungia mitandao ya kijamii 26 ambayo haijasajiliwa, hatua…
Tizama makombora ya Israel yalivyoyaporomosha majengo kadhaa ndani ya Ukanda wa Gaza. Jeshi la nchi hiyo linasema majengo hayo yalikuwa yakitumiwa na kundi la Hamas kupanga njama dhidi ya Israel.
Hata hivyo, licha ya hatua hiyo kuonekana ya mafanikio na inayoleta heshima kwake na nchi yake, kumekuwa na mawazo mseto ndani ya Ujerumani na kwenye jukwaa la kimataifa kuhusu uwezo…
Akizungumza mjini Geneva wakati wa kikao cha 60 cha Baraza la Haki za Binadamu,Turk alishutumu mauaji ya maelfu ya raia wa Kipalestina, mateso yasiyoelezeka na uharibifu mkubwa wa makazi na…
Urusi imeishambulia Ukraine kwa droni zaidi ya 800 na kwa mara ya kwanza tangu vita ilipoanza ikilenga jengo kuu la serikali mjini Kiev na kuua watu wanne kwenye mashambulizi hayo…
Wahudumu wa afya wamethibitisha juu a kuuawa watu hao wanne katika mashambulizi ya risasi mjini Jerusalem baada ya washambuliaji kufyatua risasi ndani ya basi katika eneo la makutano kaskazini mwa…
Mwezi Agosti mwaka 2025, utabakia kuwa wa kipekee katika safari ya kisiasa ya Luhaga Joelson Mpina. Mpina alijiunga na chama cha upinzania cha ACT Wazalendo mwanzoni mwa mwezi Agosti baada…
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Kitaifa la Libya, Khalifa Haftar, alikutana na mjumbe wa Umoja wa Mataifa, Hanna Serwaa Tetteh, huko Benghazi kujadili ramani mpya ya njia iliyoundwa kuendeleza mchakato…
Chanzo cha picha, Alamy 7 Septemba 2025 Kuumiza au kumdhuru mtu asiye na hatia ambaye hawezi kulipiza kisasi kunaweza kuonekana kuwa ukatili usioweza kuvumilika, lakini ni jambo ambalo hutokea mara…
Maelezo ya picha, Moja ya ndege 9 zinazoundwa sasa katika Karakana ya uwanja wa Mazimbu, Morogoro. Tano zimekamilika na kutumika Maelezo kuhusu taarifa Author, Yusuph Mazimu Nafasi, Akiripoti kutoka BBC…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Beki wa Uingereza Marc Guehi hatajiunga na Liverpool kutoka Crystal Palace mwezi Januari, mlinda lango wa Manchester United Andre Onana akubali kujiunga na klabu ya Uturuki Trabzonspor kwa mkopo, huku…
Hatima ya Waziri Mkuu wa Ufaransa François Bayrou itajulikana leo Jumatatu, Septemba 8, 2025, katika Bunge la taifa wakati wa kura ya imani ambayo yeye mwenyewe aliomba kuhusu mpango wake…
Chanzo cha picha, Universal Images Group via Getty Images Maelezo ya picha, Karne ya 6 St Catherine’s ndio nyumba ya watawa kongwe zaidi ulimwenguni inayotumika kila wakati Maelezo kuhusu taarifa…
Nchini Marekani, utawala wa Trump unazidisha sera yake ya kupinga uhamiaji. Baada ya kuishtaki Boston kwa kile kinachojulikana kama sheria “zisizoweza kukiukwa”, operesheni kuu ya ICE, mamlaka ya Uhamiaji na…
Mkutano wa pili wa Umoja wa Afrika wa mabadiliko ya hali ya hewa, unaanza rasmi hii leo jijini Addis Ababa nchini Ethiopia mkutano huo ukinuia kuleta maono ya pamoja kukabiliana…
Tume ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika ya Kati ina rais mpya. Wakuu wa nchi za ECCAS waliokutana siku ya Jumapili, Septemba 7, huko Sipopo, Equatorial Guinea, wamemteua…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Wanajeshi wasiopunguwa 72 wamechukuliwa mateka siku ya Jumapili, Septemba 7, katika eneo la Cauca. Kulingana na jeshi, eneo hili lililo kusini magharibi mwa Colombia linadhibitiwa na kundi la wapiganaji wanaohusishwa…
Hamas imesema siku ya Jumapili Septemba 7 kwamba iko tayari kuanza tena mazungumzo “mara moja” baada ya kupokea pendekezo jipya kutoka Washington. Donald Trump ametuma “onyo la mwisho” kwa Hamas…
Rais wa Marekani Donald Trump, amesema, anatoa onyo la mwisho kwa kundi la Hamas, na kuwataka wakubali mkataba utakaosababisha kuachiwa huru kwa mateka wote. Imechapishwa: 08/09/2025 – 06:03 Dakika 1…
Chanzo cha picha, ABC News Maelezo ya picha, Zelensky akihojiwa hapo awali na mwandishi wa ABC News Martha Raddatz kuhusu nyuma ya Urusi kulipua kiwanda kinachomilikiwa na Marekani nchini Ukraine…
Hali ya wasiwasi bado inashuhudiwa Uvira, jimboni Kivu Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambapo mwishoni mwa wiki iliyopita, kwa siku ya sita mfululizo mji huo ulisalia mahame.…
Rais wa Mareakni Donald Trump alikuwa akijibu swali la mwandishi habari katika ikulu yake mjini Washington siku ya Jumapili lakini hakusema awamu mpya ya vikwazo hivyo vitawekwa lini. Rais huyo…
Kundi la Hamas limesema liko tayari kukaa mara moja kwenye meza ya mazungumzo kufuatia kile lilichokieleza kuwa ni mawazo kadhaa kutoka kwa Marekani yanayolenga kuafikiwa kwa mkataba wa kusitisha mapigano.…
Kundi la Hamas limesema liko tayari kukaa mara moja kwenye meza ya mazungumzo kufuatia kile lilichokieleza kuwa ni mawazo kadhaa kutoka kwa Marekani yanayolenga kuafikiwa kwa mkataba wa kusitisha mapigano.…
Waziri Mkuu wa nne wa Ufaransa katika kipindi cha miaka mitatu François Bayrou, anakabiliwa na hali ya kukaribia kushindwa kwa hakika katika kura ya imani hivi leo. Viongozi wa upinzani…
Chama kikuu cha upinzani nchini Uturuki Republican People’s Party, CHP kimewatolea wito Waturuki na wakaazi wa mji mkuu Istanbul wajitokeze kwa maandamano baada ya polisi kuweka vizuizi katika maeneo yanayoyazunguka…