#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limeombwa kufanya doria za mara kwa mara ndani ya Ziwa Victoria, ili kudhibiti uhalifu mbalimbali wanaofanyiwa wavuvi ndani ya ziwa hilo ikiwemo kuporwa kwa nguvu vifaa vya uvuvi huku wengine wakiuawa na waporaji hao.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.