#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu, imemhukumu kifungo cha miaka ishirini jela Bw. Musa Shija na kifungo cha miaka thelathini Bi. Hollo Shija kwa kosa la kujamiana hadi kupata mtoto angali wao ni ndugu wa damu waliotokana na baba mmoja na mama mmoja.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *