#HABARI: Wananchi wa Arumeru, mkoani Arusha, wamepongeza juhudi za Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kuwaokoa vijana katika matumizi ya dawa za kulevya ikiwemo bangi.
Pongezi hizo zimetolewa wakati wa uteketezaji wa zaidi ya tani tano za bangi zilizokamatwa katika operesheni inayoendelea wilayani humo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.