Imeelezwa kuwa changamoto za afya ya akili zimeendelea kukua, ambapo zaidi ya watu bilioni moja duniani wanakabiliwa kuwa na tatizo hilo, huku chanzo kikubwa cha hali hiyo kikitajwa kuwa mrundikano wa mambo kichwani pamoja na matumizi ya vilevi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *