Mgombea urais wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) amewaahidi vijana nchi nzima kuwa wakimuunga mkono katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba atahakikisha anawapatia ekari 30 za kilimo nchi nzima.

Mgombea huyo, Rwamugira Yustas ametoa ahadi huyo mkoani Singida kama anavyoeleza Deus Liganga.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *