Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, Juma Hokororo amewataka watumishi wa umma kutoa huduma bora na kwa wakati kwa wananchi, akisisitiza umuhimu wa uvumilivu na lugha njema katika kuhudumia umma.
Amesema kila mtumishi anatakiwa kutoa huduma zenye viwango na kuhimiza upendo, ushirikiano na uwazi kati ya watumishi na wananchi wa Karatu.
✍ Mwandishi Wetu
Mhariri @claud_jm
#AzamTVUpdates