Uzinduzi wa msimu mpya wa kilimo umefanyika wilayani Hanang mkoani Manyara, ambapo elimu imetolewa kwa wakulima wa mazao mbalimbali ili walime kwa tija kwa kufuata kanuni bora za kilimo na kutumia mbegu zilizothibitishwa.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *