#HABARI: Maafisa wa Jeshi la Kenya KDF, kwa ushirikiano na Asasi mbalimbali za usalama katika kaunti ya Mombasa, bado wanatafuta watu watatu waliokufa maji, baada ya mashua iliyowabeba washiriki 22 kuzama, wakati wa shindano la Mbio za mashua za Afrika Mashariki.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *