#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, Bw.Kisare Makori, ameitaka jamii kuacha dhana potofu kuhusu unywaji wa Kahawa na kujenga utamaduni wa kunywa Kahawa inayolimwa ndani ya nchi ili kuongeza thamani ya mnyororo wa zao hilo badala ya kutegemea soko la nje pekee.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *