#HABARI: Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyekuwa Mbunge Wa Simanjiro mkoani Manyara Bw. Christophar Ole Sendeka amewataka wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa ambao hawakupata nafasi za kuteuliwa kugombea nafasi za Urais ubunge na udiwani kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarahe 29 mwezi Oktoba mwaka huu kuacha kutumia vibaya mitandao ya kijamii huku akivitaka vyama hivyo wa Kitaifa uliowekwa na wasisi wa Taifa la Tanzania kwa ujumla.
Akizungumza na vyombo vya habari mkoani Arusha Bw. Christophar Ole Sendeka amewataka pia wananchi wote hapa nchini kujiandaa na kujitokeza Katika zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wao katika Uchaguzi Mkuu huku pia akisisitiza kuwa tarehe hiyo ni siku ya uchaguzi sio maandamano.
Aidha, Ole Sendeka amegusia pia Tanzania kuendelea kupiga hatua kubwa katika ukuaji wa uchumi kupitia Dira ya Maendeleo ya Taifa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.