#HABARI: Wakala wa Misitu Tanzania kwa kishirikiana na wadau wa mazingira mkoani Kilimanjaro wamepanda miti zaidi ya elfu sita, katika eneo la Mlima Kilimanjaro ili kuendelea kulinda mazingira ya Mlima huo. Zoezi limeshirikisha watu mbalimbali wilayani Siha wakiwemo na wanafunzi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
\