Hosptali ya rufaa ya Mkoa wa Kigoma ya Maweni imetangaza siku tano za matibabu kutoka kwa madaktari bingwa, ikiwa ni mwendelezo wa mpango wa kila robo ya mwaka kuendesha zoezi hilo, ili kusogeza huduma za kibingwa karibu na wananchi.

Zoezi hilo linatarajiwa kuongozwa na waganga wafawidhi katika mkoa huo ambao ndio waratibu wa shughuli hiyo.

Wakizngumza na waandishi wa habari kuelekea zoezi hilo, wamesema huduma hiyo inatarajiwa kuanza Oktoba 13 hadi 17 ya mwaka huu, ambapo zoezi hilo linatarajiwa kuwafikia wagonjwa zaidi ya 3500.

✍Jacob Ruvilo
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *