Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewasihi waangalizi wa uchaguzi wa ndani na wale wa kimataifa kuzingatia sheria na kuepuka kuingilia au kushiriki vitendo vinayoweza kuingilia mchakato wa uchaguzi mkuu.
Rai hiyo imetolewa na Jaji Asina Omari kwa niaba ya Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Jacobs Mwambegele wakati akifungua kikao cha siku moja cha waangalizi hao.
Taarifa hii ina mengi zaidi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi