Zaidi ya makarani 450 wa Uchaguzi Mkuu katika jimbo la Tanganyika lililopo mkoani Katavi wamepatiwa mafunzo huku ufafanuzi kuhusu makarabi ambao awali walipangwa kusimamia uchaguzi katika ituo 90 ambavyo vilikuwa kwenye makazi ya watu kwenye eneo la mishamo na kuhamishiwa kata ya Tongwe ukitolewa na Afisa uchaguzi wa jimbo la Tanganyika, Alphonce Mwakyusa.
Mwanaidi Waziri ana taarifa zaidi.
Mhariri @moseskwindi