#HABARI: Jeshi la Polisi limesema yeyote atakayevunja sheria siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025 asilaumu kwa hatua zitakazochukuliwa dhidi yake kwa mujibu wa sheria kwani elimu imetolewa vya kutosha na kwa muda mrefu.
Aidha, Jeshi la Polisi limewasihi wananchi wajitokeze kwa wingi kupiga kura kama walivyojiandikisha likiwahakikishia amani na usalama siku hiyo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.