#HABARI: Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtambile kupitia Chama cha mapinduzi CCM ndugu Muhammad Abdallah Kassim ameeleza kuwa wananchi wa jimbo hilo wapo tayari kupiga kura siku ya tarehe 29 October na sio kuandamana kwani kufanya hivyo ni kuhatarisha amani ya nchi na uvunjifu wa sheria za nchi.
Mohammad Abdallah Kassim pia amechukua nafasi hiyo kuwakumbusha watanzania kwa ujumla umuhimu wa kutunza amani pamoja na umuhimu wa kutumia haki ya kikatiba ya kupiga kura. Hata hivyo amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi ambayo imekuwa ikipokea wakimbizi kutoka mataifa mbalimbali yanayokabiliana na machafuko; hivyo tuendelee kulinda heshma hii kwa maslahi ya vizazi vya sasa na vizazi vijavyo na kwa maendeleo ya taifa letu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.