#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro ametembelea hifadhi ya Taifa ya Milima ya Mahale inayohifadhi Wanyama aina mbalimbali lakini kivutio kikubwa ikiwa ni sokwe zaidi ya 800 wanaopatikana ndani ya pori hilo huku sokwe waliozoeshwa kukaribiana na binadamu wakiwa ni sokwe wapatao 75.
Katika ziara hiyo Balozi Sirro ameagiza kaya zaidi ya 170 zilizosalia katika eneo la hifadhi kuondoka katika maeneo hayo ili kupisha mikakati ya Serikali ya kuboresha zaidi hifadhi hiyo kwa lengo la kukuza utalii wa ndani ya Mkoa wa Kigoma.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.