#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Mh. Ado Shaibu Ado amembana Mbunge wa Ilala, Hassan Zungu juu ya nafasi ya Bunge atakaloliongoza katika kuimarisha demokrasia nchini Tanzania hasa kwa kufufua mchakato wa Katiba Mpya.
Akijibu swali hilo Zungu baada ya kujinadi kuomba nafasi ya uspika, amesema Bunge atakaloliongoza litasimamia haki za wananchi na kusimamia ahadi ya Serikali ya kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya.

Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *