#HABARI: Wanafunzi 8 wa Shule ya Sekondari Mwembesongo iliyopo Manispaa ya Morogoro, wamekamatwa na Sungungusungu kwa kushirikiana walimu wa shule hiyo kwa madai ya kutoroka na kujificha katika kichaka kilichopo Mtaa wa Kilimahewa wakicheza kamari na kuvuta Bangi, huku kati yao watano wakichoropoka na kutokomea kusikojulikana.

Wanafunzi hao wamefikishwa katika Ofisi ya Mtaa wa Kilimahewa chini ya Ulinzi wa Sungusungu na Walimu ambao wamesema wao sio wazungumzaji wa suala hilo huku wakiongea kwa masharti ya kutorekodiwa.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *