Miaka miwili iliyopita, maisha ya binti mwenye umri wa miaka 15 kutoka Katesh, mkoani Manyara, yalibadilika ghafla…ndoto zake za elimu zilizimwa ghafla baada ya kubakwa na kupata ujauzito akiwa bado shuleni.

Licha ya changamoto hizo, binti huyo ameweza kuhimili na sasa amejifungua mtoto wa kiume. Ndoto zake kwa sasa ni kuendelea na masomo ili awe muuguzi. Fuatilia simulizi hii.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *