Baadhi ya wananchi wa Dar es Salaam waliokuwa wakitumia usafiri wa mabasi ya mwendokasi wamesema kuwa kwa sasa wanakabiliwa na adha kubwa ya usafiri kutokana na kusitishwa kwa huduma za mabasi hayo.
Miongoni mwa changamoto wanazopitia ni pamoja na kukaa vituoni kwa muda mrefu wakiendelea kusubiri huduma ya usafiri wa daladala.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi