#HABARI: Jeshi la Uhamiaji Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, limewataka wakulima wote wa zao la Tumbaku wilayani hapo ambao wanahusika kuwavusha kinyemela vijana kutoka mataifa ya jirani kwa nia ya kuwatumia katika shughuli za shambani bila kujali usalama wa nchi kujisalimisha haraka iwezekanavyo kabla Operesheni maalum ya kuwasaka kuanza.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.