#HABARI: Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar, Zainab Abdallah, ameapishwa rasmi leo Novemba 12, 2025, katika Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma.

Zainab, ambaye ni Mbunge kwa awamu ya kwanza, ni miongoni mwa wabunge wapya waliokula kiapo cha uaminifu kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa majukumu yao kwa kipindi cha miaka mitano (2025–2030).

Kabla ya uteuzi wake kuwa Mbunge, Zainab aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali za kiuongozi serikalini, ikiwemo kuwa Mkuu wa Wilaya katika Wilaya za Pangani, Bagamoyo na Muheza.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *