#HABARI: Mara baada ya kuthibitishwa kuwa Waziri Mkuu mteule leo Novemba 13, 2025, Dkt. Mwigulu Nchema amepewa nafasi ya kuzungumza bungeni kwa mara ya kwanza ambapo pamoja na mambo mengine, amezungumzia suala la ofisi za umma kwamba atahakikisha zinawasikiliza Watanzania hasa wa hali ya chini.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania