Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Uteuzi wa Rais unasubiri uthibitisho wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaofanyika kupitia kura za wabunge.
Tazama mchakato mzima ulivyokuwa Bungeni wakati wa kutangazwa kwa jina hilo.
Imeandliwa na @moseskwindi