Mkandarasi anayejenga daraja linalounganisha eneo la Majumba Sita na Segerea wilayani Ilala, Dar es Salaam ametakiwa kuhakikisha msimu wa mvua unaotarajia kuanza hivi karibuni haugeuki kuwa kikwazo cha kuendelea kwa ujenzi huo wa kimkakati.

Malekezo hayo yametolewa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi huo.

Imeandaliwa na @moseskiwndi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *