#HABARI: Mabaki ya mwili wa Joshua Mollel, Mtanzania ambaye aliuawa kwenye mapigano ya Israel na Hamas Oktoba 7, mwaka 2023, yamewasili nchini na kupokelewa na ndugu, jamaa na marafiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania