Wanafunzi kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi hapa nchini wamebuni mashine ya kidijitali inayowawezesha wateja kujihudumia bila kumtegemea mhudumu, ikiwemo kuona orodha ya vyakula, kuagiza na kulipia moja kwa moja wanapofika mgahawani au hotelini…ubunifu unaotajwa kurahisisha na kuharakisha utoaji wa huduma.

#AzamTVUpdates
Mhariri |John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *