WFP kuwalisha watu milioni 110 mwaka 2026, huku njaa ikiongezeka duniani
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limeonya kuwa dunia inaelekea kwenye mwaka mwingine mgumu wa uhaba wa chakula, huku idadi ya watu wanaotarajiwa kuhitaji msaada…