Dk. Mwinyi akagua ujenzi ‘Sports City’ Fumba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa kimkakati wa Zanzibar Sports City unaoendelea katika eneo…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa kimkakati wa Zanzibar Sports City unaoendelea katika eneo…
Wawakilishi wa wafanyabiashara Mkoa wa Shinyanga wamelalamikia wingi wa tozo kwenye huduma moja...
Marekani imetangaza siku ya Jumanne (18.11.2025) kuzipatia Zambia na Eswatini dawa mpya ya sindano inayotumiwa kupambana na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi ya Lenacapavir itakayoanza kutolewa wiki hii.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu cha 3 cha Sheria ya Tume ya Uchunguzi, Sura ya 32, ameunda Tume…
Ushawahi kujiuliza hivi ingekuwaje kama ungekuwa bila intaneti? je, upatikanaji wa intaneti ni haki yako ya msingi? Hakuna sheria ya ulimwengu inayosema kuwa ni haki ya msingi. Lakini taasisi za…
Ushawahi kujiuliza hivi ingekuwaje kama ungekuwa bila intaneti? je, upatikanaji wa intaneti ni haki yako ya msingi? Hakuna sheria ya ulimwengu inayosema kuwa ni haki ya msingi. Lakini taasisi za…
#HABARI: Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeendelea kuunga mkono Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwani Watanzania zaidi ya 3000 wameunganishiwa mifumo ya gesi asilia ambayo…
Nafuu ya usafiri mkoani Dar es Salaam inatarajiwa kurejea kuanzia Alhamisi, Novemba 20 mwaka huu, baada ya uongozi wa mkoa kutangaza kurejeshwa kwa huduma za mabasi ya mwendo wa haraka…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameanza safari za kidiplomasia, akilenga kuyafufua mazungumzo ya amani na kupata msaada mpya wa kijeshi. Ameshaitembelea Ufaransa na sasa yupo nchini Uturuki.
#HABARI: Wafanyabiashara wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, wametakiwa kutumia takwimu zilizopo katika Sekta ya Uzalishaji na Uwekezaji, ili ziweze kuwanufaisha wao na kuongeza pato la uchumi kwenye mikoa…
#HABARI: Baada ya kutokea kwa vurugu zilizopelekea vifo na uharibifu wa mali katika mikoa mbalimbali nchini siku ya Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais, Oktoba 29 mwaka huu, umoja…
#HABARI: Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM), Goodluck Charles Jactad (26), amejijeruhi vibaya wakati akijaribu kujiua kwa kujikata shingoni kisha kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba linachunguza tukio la vifo vya pacha wawili wa kike wenye umri wa miaka 11 baada ya miili yao kupatikana wakiwa wananingʼinia kutoka…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul ameitaka serikali ya Serbia, ambayo inadumisha uhusiano wa karibu na Moscow, siku ya Jumanne, Novemba 18, kuchagua kati ya kujiunga na…
Kaunti ya Samburu Kenya ilianzisha programu ya ufugaji Ngamia badala ya ng'ombe katika jitihada za kukabiliana na ukame huku wanyama hao wakitajwa kuhimili changamoto hiyo na kusaidia jamii zilizoathirika na…
RAUNDI ya pili ya Ligi Kuu Soka Wanawake (WPL) itaendelea tena leo Novemba 19, 2025 zikipigwa mechi tatu baada ya raundi ya kwanza kuchezwa idadi kama hiyo
Kundi la itikadi kali nchini Mali la JNIM limegeuka kuwa adui mkubwa wa serikali ya kijeshi nchini humo, hasa baada ya kuendeleza mashambulizi dhidi ya misafara ya magari ya mafuta…
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameonyesha wasiwasi wa kuwepo uwezekano wa Tanzania...
WINGA wa Geita Gold, Yusuph Mhilu amesema anaamini msimu huu ni wa kufa ama kupona kwa timu hiyo katika safari yao ya kurejea Ligi Kuu Bara, huku akisistiza hakuna visingizio.
WINGA wa Geita Gold, Yusuph Mhilu amesema anaamini msimu huu ni wa kufa ama kupona kwa timu hiyo katika safari yao ya kurejea Ligi Kuu Bara, huku akisistiza hakuna visingizio.
Kiongozi wa upinzani nchini DRC, Martin Fayulu, ametoa wito mpya wa mazungumzo ya kitaifa. Katika taarifa iliyotolewa kwenye mitandao ya kijamii, kiongozi wa jukwaa la kisiasa la Lamuka ameonyesha wasiwasi…
Katika baraza jipya la mawaziri, miongoni mwa teuzi zilizowakosha Watanzania wengi wa maeneo...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na Rais wa Venezuela Nicolas Maduro. Trump ameyasema hayo katika Ikulu ya white house mjini Washington katika kikao na waandishi…
Mwandishi wa Ufaransa mwenye asili ya Algeria Boualem Sansal “anarudi Ufaransa,” kamati yake ya usaidizi imetangaza katika taarifa mnamo Novemba 18. Imechapishwa: 18/11/2025 – 14:14 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
KOCHA wa TMA Stars inayoshiriki Ligi ya Championship, Habib Kondo amekiri kuwa kikosi chake kina upungufu baadhi ya maeneo hasa katika safu ya ushambuliaji akisema ndiyo linalompa kazi kubwa zaidi…
UJUMBE wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umefika mjini Geneva tayari kuanza Mkutano wa 11 wa Nchi wanachama wa Mkataba wa WHO wa Kudhibiti Tumbaku (WHO FCTC COP11 ), unaofanyika…
BAADA ya kumaliza majukumu yake ndani ya Taifa Stars, kocha Miguel Gamondi ameungana na kikosi cha Singida Black Stars kwa ajili ya kuendelea na maandalizi ya mechi ya kwanza ya…
DAR ES SALAAM: THE Dar es Salaam Regional Commissioner, Albert Chalamila, has directed the Dar Rapid Transit (UDART) bus company and various government institutions under the Regional Administrative Secretary’s Office…
Katika kuboresha afua na huduma bora kwa watoto wachanga, wakiwemo njiti, Taasisi ya Afya ya...
Mwendesha bodaboda, Stefano Maziku maarufu kama Doto (25), mkazi wa kitongoji cha Igwesa Kijiji...
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has sworn in the 2025/30 Cabinet at Chamwino State House in Dodoma, urging ministers and their deputies to focus on delivering measurable development outcomes for…
Taifa hilo limeshuhua kuapishwa kwa baraza jipya la mawaziri, Novemba 18 huku kukiwa na maingizo mapya katika baraza hilo lenye jumla ya wizara 27.
DAR ES SALAAM: TANZANIA has achieved a breakthrough in deepening regional investment connectivity following the launch of the first Regional Collective Investment Scheme under iTrust Finance in Dar es Salaam…
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeendelea kuunga mkono Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwani Watanzania zaidi ya 3000 wameunganishiwa na mifumo ya gesi asilia ambayo…
Shirika la mpango wa chakula duniani (WFP) limeonya kuwa kukatwa kwa ufadhili katika shirika hilo, kunamaanisha kwamba itakuwa vigumu kulisha theluthi moja ya milioni 318 ya watu, watakaokabiliwa na njaa…
🔴MEZA HURU - BARAZA LA MAWAZIRI.... 18 NOVEMBA, 2025
Mauzo ya bidhaa za Iran barani Afrika yaliongezeka maradufu katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu (1404 Hijria Shamsia), na kufikia dola milioni 675.
TUNDUMA: OVER 62bn/-has been collected by the Tunduma Border Customs in Songwe Region during the first quarter of the 2025/26 financial year, achieving 120 percent performance compared to the target…
Halmashauri ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe imejipanga kuongeza tija katika uzalishaji wa...
MARA: The Frankfurt Zoological Society (FZS) has introduced a new system of receiving and solving challenges concerning its conservation project areas, to village leaders at Bonchugu village in Serengeti District.…
Serikali imepanga kuimarisha mfumo wa ukusanyaji wa taarifa za viwanda nchini kupitia uundaji...
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), hali ya kibinadamu katika majimbo ya Kivu Kaskazini na Kusini bado ni tete.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limefanya kikao kumulika hali ya usalama na juhudi za kujenga amani Afrika Magharibi.
Kuanzia leo tarehe 18 inaanza Wiki ya Kimataifa ya Kuelimisha Umma kuhusu Usugu wa Vijiumbemaradhi dhidi ya dawa. Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani, WHO, linaonya kuwa usugu…
Asilimia 45 ya watu bilioni 8.2 duniani wanaishi kwenye majiji, na idadi hii inatarajiwa kuongezeka kadri dunia inavyozidi kuwa ya mijini.
Siku za kimataifa hutumika kuelimisha umma kuhusu masuala muhimu, kuhamasisha rasilimali na utashi wa kisiasa kukabiliana na changamoto za dunia na kusherehekea mafanikio ya binadamu. Umoja wa Mataifa umetumia siku…