Aliyembaka mtoto wa kambo akwaa kisiki mahakamani
Mahakama ya Rufaa iliyoketi Dodoma, imetupilia mbali ombi la John Ngonda, aliyehukumiwa kifungo...
Mahakama ya Rufaa iliyoketi Dodoma, imetupilia mbali ombi la John Ngonda, aliyehukumiwa kifungo...
Bunge la Ujerumani limefanya kumbukumbu ya wahanga wa vita, ambapo bendera zimepepea nusu mlingoti kwenye jengo la Reichstag mjini Berlin.
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan, continues to urge Tanzanians to continue praying for the Nation so that peace, love, tolerance, and solidarity continue to prevail in the country. The statement…
KOCHA Mkuu wa Alliance Girls ya Mwanza, Sultan Juma amesema kikosi chake kiko vizuri na kimefanya maandalizi ya kutosha jambo linakompa imani watafanya vyema katika Ligi Kuu ya Wanawake Bara…
TAIFA Stars chini ya Kocha Miguel Gamondi, juzi usiku ilikumbana na kipigo cha mabao 4-3 kutoka kwa Kuwait, huku kikimchefua kocha huyo akiwatupia lawama wachezaji kwa kushindwa kulinda ushindi wa…
NYOTA wa zamani wa Geita Gold na Pamba Jiji aliyewahi kucheza soka la kulipwa nje ya nchi, George Mpole amezungumzia ukimya wa muda mrefu alionao kwa kufichua alikuwa akifanya majaribio…
Wahamiaji wanne walifariki baada ya boti mbili zilizokuwa zimebeba karibu watu 100 kupinduka katika pwani ya Al-Khums kaskazini magharibi mwa Libya, Shirika la Hilali Nyekundu la Libya lilisema Jumamosi jioni.
NYOTA wa Kitanzania, Clara Luvanga amesema anapambana kuhakikisha kila msimu anavunja rekodi zake mwenyewe za misimu iliyopita.
NYOTA wa Kitanzania, Clara Luvanga amesema anapambana kuhakikisha kila msimu anavunja rekodi zake mwenyewe za misimu iliyopita.
WINGA wa Kitanzania, Simon Msuva hajaanza vyema Ligi Kuu Iraq akiwa na kikosi cha Al Talaba SC baada ya kucheza dakika 540 na kufunga bao moja.
KWA mara nyingine Wabongo wawili wanaokipiga FC Masar ya Misri, Hasnath Ubamba na Violeth Nickolaus, wameandika rekodi ya kutinga nusu fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya…
MSHAMBULIAJI kinda wa Trident FC ya Zambia, Mourice Sichone amesema anataka kutafuta changamoto nje ya nchi hiyo baada ya kuitumikia ligi Daraja la Kwanza kwa takribani misimu miwili sasa.
Hali ikiwa ya utulivu, kila mmoja akiendelea na lake ndani ya saluni ya kike iliyopo Mwenge...
Ujumbe wa Mpito wa Umoja wa Mataifa nchini Lebanon (UNIFIL) umesema kuwa asubuhi ya leo, Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limewafyatulia risasi askari wa kulinda amani wa UNIFIL kutoka…
Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho...
Miaka ya nyuma, timu ya taifa ya Brazil ilikuwa ikisafiri kuelekea Kombe la Dunia ikiwa na...
Arsenal watalazimika kusubiri kwa wasiwasi baada ya Gabriel Magalhães kutolewa uwanjani na...
Straika wa England na Bayern Munich, Harry Kane anaendelea kufumania nyavu kwa kasi ya ajabu...
Kampuni iliyoanzishwa na mfanyabiashara bilionea na mwekezaji wa viwanda kutoka Tanzania...
Mtandao wa Madaktari wa Sudan unasema ubakaji "ni sawa na uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu."
Katika dunia ya leo yenye mabadiliko ya kasi, vijana wa kizazi kipya kinachojulikana kama...
🔴#TAMASHA LA MICHEZO..NOVEMBA 16, 2025
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran amesema kuwa, Hatujawahi kupoteza hata sekunde moja katika kuimarisha nguvu za kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu na tunajitahidi kwa dhati kuendelea kuboresha nguvu hizo.
Naibu Waziri wa Masuala ya Sheria na Masuala ya Kimataifa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran leo amesema wakati akijibu swali kutoka kwa mwandishi wa habari wa Shirika…
Ingawa maafisa wa Misri wametangaza kwamba wamemkamata mhusika wa mauaji ya mwanasayansi kijana wa nyuklia wa nchi hiyo; lakini taarifa nyingine zinasisitiza kwamba muuaji aliondoka eneo la tukio mbele ya…
Kwa uchache watu 20 wamepoteza maisha katika kipindi cha siku mbili za Ijumaa na Jumamosi katika shambulio lililohusishwa na waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia…
Shiriika la Hilali Nyekundu limetangaza kuwa, kwa uchache watu wanne wamepoteza maisha wakati boti mbili zilizokuwa zimebeba wahamiaji 95 zilipozama kwenye pwani ya mji wa Al Khums wa magharibi mwa…
“Baraza halitosita kukifuta kituo cha mitahani endapo litajiridhisha pasipo shaka kuwa uwepo wake unahatarisha usalama wa mitihani wa Taifa, wakuu wa shule wanaaswa kuzingatia miongozo usimamizi uliotolewa na baraza,”- Katibu…
“Baraza linatoa wito kwa wasimamizi walioteuliwa kufanya kazi yao kwa umakini, uweledi, uadilifu na kwa kuzingatia kanuni za mitihani na miongozo ya baraza ili kila mwanafunzi apate haki yake”- Katibu…
Ukraine imesema inafanya jitihada ili kurejesha mpango wa kubadilishana wafungwa na Urusi, kwa matumaini ya kuachiliwa kwa Waukraine 1,200 wanaoshikiliwa na Urusi.
Kura mpya ya maoni inaonesha kuwa umma umegawanyika kuhusu ikiwa Japan inapaswa kujihusisha kijeshi endapo China itaishambulia Taiwan, inayodai kuwa ni sehemu ya miliki yake.
Rais wa Lebanon, Joseph Aoun, ameiagiza wizara yake ya mambo ya nje kuandaa malalamiko dhidi ya Israel kwa kujenga ukuta ndani ya ardhi ya Lebanon.
Zaidi ya watu 100 wamejeruhiwa wengine 20 wakikamatwa wakati wa maandamano makubwa mjini Mexico City yaliyopinga namna Rais Claudia Sheinbaum anavyoshughulikia uhalifu.
Maelfu ya watu wamekusanyika mjini Manila kwa maandamanao ya kupinga ufisadi katika miradi ya kudhibiti mafuriko nchini Ufilipino.
Nina uhusiano na mwanamke kwa miaka mitatu na tulipanga mwishoni mwa mwaka huu nikatoe barua...
Chinese Coast Guard vessels have sailed through the Japan-administered Senkaku Islands amid rising tensions between the two countries over Japanese Prime Minister Sanae Takaichi’s comments about Taiwan. The China Coast…
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuhusu ripoti ya Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya…
Wakati msimu wa kilimo kwa mwaka 2025/26 ukianza, Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu...
Leo tutaongelea ubinafsi na uchoyo. Kwenye ndoa, sawa na kwenye maisha mengine, kuna wanandoa...
ARUSHA: TAASISI ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) imekabidhi vitendea kazi vya kompyuta 50 kwa wanafunzi 50 wa kambi maalumu ya Samia Scholarship katika Programu juu…
Hakan Fidan anasema uungwaji mkono wa Berlin unaweza kuleta "maendeleo mapya" katika kujiunga na Umoja wa Ulaya wa Ankara, huku akiangazia mabadiliko ya ajenda ya ulinzi ya umoja huo na…
Ripoti ya mwaka 2017 iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Ustawi wa...
Wataalamu wanaeleza kuwa, usipoweza kuzuia mkojo ndani ya saa mbili hadi tano, hiyo ni ishara kuwa una shida ya afya ya kibofu chako. Msikilize Daktari wa Binadamu, Abilius Fidel akielezea…
Kama ukikaa mda mrefu au pale unaposimama unapatwa na maumivu ya miguu pamoja na kukata nyama za tumbo fanya mazoezi haya. @mcjojo__ ✍Juliana James Mhariri | @claud_jm #AzamTVUpdates
Katika ulimwengu wa uhusiano wa kimapenzi, si jambo geni kusikia au kushuhudia mwenza akiachana...
MTWARA: MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Abdallah Mwaipaya amewataka wananchi wilayani humo kuendelea kushiriki michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu ili kuimarisha afya na kuleta mshikamano. Hayo yamejiri wakati wa…
#HABARI: Mkutano wa Maaskofu Wakatoliki wa Marekani umelaani msako mkali uliotekelezwa na Idara ya Uhamiaji nchini ambao Rais wa Marekani Donald Trump anatetea kwa kile alichokiita "mageuzi ya msingi ya…
Kwa muda mrefu, kanga imekuwa zaidi ya vazi la mwanamke. Ni sauti isiyo na mdomo, ujumbe usio...