Kapilima, B19 kuna jambo linaendelea
ALIYEKUWA Kocha wa KenGold, Omary Kapilima, yupo katika mazungumzo ya kukiongoza kikosi cha B19 zamani kikifahamika kwa jina la Tanesco, baada ya timu hiyo iliyopanda daraja msimu huu kutokuwa na…
ALIYEKUWA Kocha wa KenGold, Omary Kapilima, yupo katika mazungumzo ya kukiongoza kikosi cha B19 zamani kikifahamika kwa jina la Tanesco, baada ya timu hiyo iliyopanda daraja msimu huu kutokuwa na…
MSHAMBULIAJI wa maafande wa Polisi Tanzania, Ramadhan Kapera ameanza mazoezi ya kujiweka fiti na kikosi hicho, baada ya kukosekana tangu msimu huu umeanza, kutokana na kusumbuliwa na jeraha la goti…
BEKI wa kulia wa Kagera Sugar, Yusuph Iddy 'Kiba', amesema licha ya kucheza kwa mara ya kwanza na timu hiyo msimu huu, ila amefurahia mwanzo mzuri na ushirikiano anaoupata kutoka…
KOCHA Mkuu wa KenGold, Jumanne Challe amesema licha ya mwenendo mzuri hadi sasa, ila anakabiliwa na changamoto kubwa ya kubadilisha wachezaji nafasi zao wanazocheza, kwa sababu kikosi hicho kina nyota…
DAR ES SALAAM: WELL, my dear readers, let us begin by meeting that most common creature of modern society… The armchair critic. You know the type. They sit comfortably at…
Mzazi au wazazi wana haki ya kuuza mali zao bila kupata ridhaa wala kuwashirikisha watoto wao. Msikilize mwanasheria wetu akifafanua zaidi hili. #SheriaUpdates
BAADA ya Barberian kuchapwa mechi nne mfulilizo za Ligi ya Championship msimu huu, kocha wa kikosi hicho, Moris Katumbo 'Kamongo', amesema tatizo kubwa linaloikabili timu hiyo ni kukosa balansi katika…
Ugonjwa wa virusi uliogunduliwa unaonyesha kufanana na wale waliotambuliwa hapo awali Afrika Mashariki, CDC ya Afrika ilisema.
Nia na madhumuni ya makala haya sio kuchochea ufanywaji wa tendo la ndoa kwa wasio wanandoa...
DODOMA: ON November 14, 2025, the atmosphere in Dodoma carried a strangely human warmth, the kind that settles in when a country pauses to listen to its leader after months…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Pangani, Mkoani Tanga, Novemba 14, 2025, imetoa hukumu dhidi ya watuhumiwa Idd Hamis Mohamed (55) na Huruma Mlengule Hosia (35), wote wakazi wa Kijiji cha…
ZANZIBAR: MWENYEKITI wa Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT Wazalendo) Taifa, Othman Masoud Othman amewataka wananchi kuwa watulivu na kuendelea kudumisha amani ya nchi, licha ya chama hicho…
Hakan Fidan anasema Trump "ameonyesha nia yake" ya kusuluhisha suala hilo, huku nchi mbili zikichunguza vifungu vya kina vya sheria, kutafuta njia kuelekea utatuzi.
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetoa Sh milioni 185.429 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kulinda na kuhifadhi vyanzo vya maji, kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.…
Ankara itaendelea kuimarisha mshikamano wake na watu wa Cyprus ya Uturuki kwa kila njia, alisema Recep Tayyip Erdogan.
DAR ES SALAAM: KUHIFADHI chakula kwenye jokofu ni njia bora ya kukilinda dhidi ya kuharibika na magonjwa yanayosababishwa na bakteria. Hata hivyo, usalama wa chakula haupatikani tu kwa kukiweka kwenye…
KINSHASA: THE International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) has hailed Tanzanian President, Dr Samia Suluhu Hassan, for winning Tanzania’s presidential race. The Vice President, Emmanuel Nchimbi, participated in…
TANGA: WAKAZI wa Kijiji cha Mseko, Idd Mohamed (55) na Huruma Mlengule (35) wamehukumiwa kwenda jela miaka 25 kwa hatia ya kupatikana na nyara za serikali na kumiliki silaha, kinyume…
DAR ES SALAAM: THE nation has passed through the General Election, get‑ ting President, members of Parliament and councillors for the next five years. Having been sworn in, President Samia…
TANZANIA ni miongoni mwa nchi zinazotarajia kunufaika na Dola za Marekani milioni 20 (sawa na Sh bilioni 48.9) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kukabiliana na athari za mabadiliko…
DODOMA: UAMUZI wa Rais Samia Suluhu Hassan kusamehe vijana waliofuata mkumbo na kushiriki vurugu zilizojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, mwaka huu ni hatua inayostahili pongezi za dhati. Akizungumza…
Kocha wa Manchester City Mhispania Pep Guardiola, amewataka wananchi wa Uhispania kuonyesha mshikamano na wananchi wa Palestina.
Rais wa Venezuela amesisitiza uungaji mkono kamili kwa haki za watu wa Palestina na haja ya kutekeleza haki dhidi ya jinai na vitendo vya mauaji ya kimbari.
Zaidi ya nusu ya idadi ya watu wa Sudan wanahitaji msaada wa kibinadamu. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Baraza la Wakimbizi la Denmark, huku mapigano yakiliharibu taifa hilo la kaskazini…
Hatua ya kundi la walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada ya kuchoma msikiti wa Hajja Hamida katika Ukingo wa Magharibi huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu imelaaniwa katika kila…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya kuhusiana na kushadidi janga la kibinadamuu katika Ukanda wa Gaza.
DODOMA: MWENYEKITI wa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Maganya Rajab amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuleta maridhiano na kusamehe vijana walioshiriki vurugu na kusisitiza kuwa, hatua hiyo si…
KINSHASA: TANZANIA has affirmed its commitment to maintain peace and harmony in there Great Lakes region. The country has supported all the important agendas discussed in the Internationa Conference on…
DODOMA:WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amezielekeza hospitali zote nchini kuhakikisha wajawazito wanaofika hospitalini kuhudumiwa kwanza na hatua za kiutawala zifuatwe baadaye ili kuokoa maisha ya mama na mtoto. Pia, aliagiza…
CONGO: TANZANIA imeunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR). Makamu wa…
WABUNGE wamepongeza hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuzindua bunge, kwamba imeonesha matumaini mapya ya Tanzania ijayo tajiri na bora Afrika. Tanzania itafikia ubora huo kama Watanzania kwa umoja…
Waswahili huifanya salamu kuwa ni habari kamili. Badala ya kusalimiana huku wakipishana, wao...
Cuban Marimba Band ya Morogoro, ilikuwa ikiongozwa na Salum Abdallah Yazidu. Bendi ilianza...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, kushindwa kupata vibali vya kuondoka mara moja kwa wagonjwa kutoka Gaza kumesababisha vifo vya wagonjwa 900 hadi sasa.
Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Sudan, ukieleza kuwa watu wengi katika eneo hilo wanahitaji msaada wa haraka.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limekosoa kuendelea kuwekewa vikwazo vya misaada katika Ukanda wa Gaza na kueleza kuwa, utawala ghasibu wa Israel kama utawala…
🔴#MAGAZETI: - TEC YATAKA UWAJIBIKAJI----16 NOVEMBA 2025
Ziara ya kushtukiza ya Waziri Mkuu katika hospitali ya Rufaa wa Dodoma.Je iwe endelevu katika maeneo mbalimbali ili kubaini utolewaji wa huduma kwa wananchi ?
Tumsifu Yesu kristu. Tunakusalimu kwa Jina la Bwana wetu Yesu Kristo aliye hai. Ninamtukuza...
Msemaji wa serikali ya Iran ameeleza kuwa Iran itatoa jibu kali zaidi na kwa nguvu kubwa" ikilinganishwa na wakati uliopita ikiwa itakabiliwa na na uchokozi mpya wa nchi ajinabi.
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya kuhusiana na kushadidi janga la kibinadamuu katika Ukanda wa Gaza.
Mwakilishi wa harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina hapa mjini Tehran amesema: "sisi katika mavuguvugu ya Muqawama wa Kiislamu hatutambui uwepo wa utawala wa Kizayuni na hatulazimiki kuutambua, hasa kwa vile…
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na kundi la waasi la M23 zimesaini makubaliano ya muundo kwa ajili ya mkataba wa amani unaolenga kumaliza mapigano mashariki mwa nchi hiyo.
Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO Mark Rutte amesema, nchi kadhaa wanachama wa shirika hilo zitachangia kwa pamoja shehena ya silaha na zana za kijeshi yenye thamani ya…
Russia na China ambazo ni wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimetaka kufutwa kikamilifu "Tume ya Amani" kwenye matini ya rasimu iliyowasilishwa na Marekani kwenye…
Leo ni Jumapili 25 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1447 Hijria mwafaka na 16 Novemba 2025.
MOROGORO: THE Business Registrations and Licensing Agency (BRELA) is intensifying efforts to strengthen its digital systems to reduce bureaucracy, safeguard the rights of business owners and ensure safe and efficient…
DODOMA: THE government has pledged to acquire eight more aircraft by 2030 to strengthen Air Tanzania Company Limited (ATCL), expanding both domestic and international routes and positioning the country as…
DODOMA: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has directed the Ministry of Health, Medical Stores Department (MSD) and all hospitals across the country to prioritise stocking medicines based on the specific…